VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
tsunami was a natural disaster.... acha potosha watu..
Mkuu sio risasi tu jamaa alifariki alikuwa kwenye mini cab kama msafiri lakini pale ilipatikana bunduki ambayo haikuwa ya polisi so police wanaweza wakaja na kujitetea kwamba ilikuwa self defenseDah hii ni hatari, kisa Police wamewapiga risasi jamaa, kweli wenzentu hawana utani!
Wanadai kuna jamaa alipigwa risasi na polisi na kufa. Lakini inavyoonekana ni more that. Maana inasemekana inasambaa miji mingine kama Birmingham. BBC News - Gangs of youths and windows smashed in Birmingham
kuna kitu kikubwa zaidi... tutajua tu...
Mkuu ndio maana nikasema all is not well in UK (kuna some tensions kubwa sana nyingine ni racial) lakini issue kubwa sana ni kwamba vijana wadogo wa UK hawana morals na wengine wanapenda Gang Culture kwahiyo mkuu hii kitu soon or later lazima itatoka tu (yaani ukitaka kujua ninamaanisha nini weekends vijana wakishakunywa bila kutukana polisi na kufanya fujo hapa na pale siku yao haijaenda vema) kwahiyo polisi huwa wapo alert kuwashika vijana hapa na pale na kuwapumzisha kidogo polisi..
Genuinely makes one wonder.... Na weza kubali theory yakko kua i
t has to be more than that... I am already interested, nitafuatilia...
I like your point of view, but it is kind of so conclusive... Do you really believe
na mahala kote? I don't think so... Those are the kind of people who learn anger
control in the name of being a lady and gentleman... Naona ni zaidi kwa wale ambao
wana life flani hivi la chini.... (Hope it does not sound wrong...)
Mkuu ndio maana nikasema all is not well in UK (kuna some tensions kubwa sana nyingine ni racial) lakini issue kubwa sana ni kwamba vijana wadogo wa UK hawana morals na wengine wanapenda Gang Culture kwahiyo mkuu hii kitu soon or later lazima itatoka tu (yaani ukitaka kujua ninamaanisha nini weekends vijana wakishakunywa bila kutukana polisi na kufanya fujo hapa na pale siku yao haijaenda vema) kwahiyo polisi huwa wapo alert kuwashika vijana hapa na pale na kuwapumzisha kidogo polisi..
Yeah ni kweli na fujo kutokea sio mpaka nchi nzima wafanye fujo ni pockets fulani za sehemu ambazo ni masikini, sitegemei kwamba fujo birmingham zitatokea Solihull au Sutton Coldfield bali sehemu kama Perry Bar, Small Heath, Hall Green na kuelekea mjini sababu huko kila mtu anakwendaNaona ni zaidi kwa wale ambao wana life flani hivi la chini.... (Hope it does not sound wrong...)
Hata Serikali ingeamua isingeweza ku-afford kuendelea kutoa welfare; EU Crisis, watu wanadanganya system kwa kujifanya hawana kazi ili wapate pesa bure n.k. alafu ukizingatia Mzawa muingereza ni mvivu wakati watu kutoka Poland ni wachapa kazi kwahiyo kampuni ipo radhi kumuajiri mtu wa Poland kuliko mzawa..., yaani huwezi kuamini mimi nilishasema miaka kama mitano nyuma kwamba England inapoelekea ni pabaya sanaMkuu nafiri ni government's austerity policy of deficit-cutting, lower spending, and a reduction in the amount of benefits and public services provided. Imetokea hata Ugiriki na nchi nyingine pia. Gadaffi atakuwa anaangalia hii live. lol
This is too much. Mnaona kinachoendelea Croydon. Pole wenzangu mnaopenda kukaa jijini.
This is too much. Mnaona kinachoendelea Croydon. Pole wenzangu mnaopenda kukaa jijini.
[Looters warned to steer clear of Croydon
Croydon Council is fully supporting the police following civil disturbances in some parts of London.
Mobile enforcement unit dog patrols and Neighbourhood Enforcement Officers will provide high-visibility presence in the town centres and CCTV will be monitored.
Council leader Mike Fisher said: "People seeking to exploit what has happened in Tottenham is simply unacceptable and I want to make it clear that if you are contemplating coming to Croydon to attack our businesses, you will be caught."
Police should be contacted either anonymously through Crimestoppers on 0800 555 111, the new non-emergency 101 number or 999 in an emergency.
http://www.croydon.gov.uk/news/democracy/looters-warned-steer-clear-croydon
Mkuu binadamu wana culture tofauti (take Japan for instance.., hata baada ya ile Tsunami watu walikuwa calm na watulivu) sasa hii issue ukiangalia waingereza ni watu wa fujo (Hooligans) wewe angalia tu baada ya Games za mpira au wakipata opportunity kwahiyo naweza kusema ni kama kipele kimepata mkunaji..., yaani hawa jamaa wakipata opportunity na wasiposimwa haraka na kama mob ikiwepo basi ujue kuna shughuli inakuja hata timu yao ya mpira ikifungwa lazima police wawe alert
Tena kuna racial tensions kubwa sana ambazo zisipotafutiwa dawa huenda zikawa time bomb (wapakistan na watu weupe; weusi na wapakistan n.k.) sababu hata kuna kipindi ilitokea fujo kati ya wapakistan na watu weusi (Birmingham) lakini police walimove fast. Sasa hii ukichanganya na maisha magumu na kazi kuwa chache inafanya wazawa waanze na kuwachukia wageni (In short sioni future yoyote nzuri kwa England) The Great Britain is not Great any more
Mkuu na hio pia ni sababu nakumbuka kuna incidence moja ilitokea yaani mtoto mmoja alikuwa kwenye Bus anapiga kelele na kutupa tupa chips ovyo baada ya mtu mmoja kumkataza hio ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake sababu huyo kijana alimchoma na kisu..Mimi nadhani haya ni matunda ya poor parenting inaendelea hapa UK. samaki mkunge angali mbichi. These guys are now beyond control