London ni mji Mzuri sana sijaona

London ni mji Mzuri sana sijaona

ha ha ha ah!! Rsaid umenifanya nicheke sana leo...enjoy your trip!
 
Mimi Nimepozi hapa: Omaha, NEBRASKA
omaha-airport-address.jpg

omaha_nebraska_250x251.jpg

CPR_Nebraska_Omaha.png
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.

tehetehhhh karibu na Ukraine
 
Ukraine Hii Hapa! Kama Sijuwi wapi pale!

Ukraine-marriage-agency.jpg

Hapa naona patakuwa Doniecki kwa Wayahudi.....

Namuona kwa mbaaaali Angela Damas (Miss Tanzania), sijui alikuwa kaja kumsalimu mjomba wake hapa?
 
I have to say this is one of the most interesting posts up in here. Kila unavyozidi kukaa huko ndivyo pazia litakavyozidi kufunguka. Nakutakia mafanikio mema.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=FZvOBQAUbVc"]http://www.youtube.com/watch?v=FZvOBQAUbVc[/ame]

Nawakilisha!
 
Huwezi kuniambia chocote kuhusu uzuri wa maandhari ya asilia ya Magu na Lushoto ... Uzuri/ubaya wa kitu ni relative/subjective jamani.
 
Good post ndugu, though kuna vitu kama walivyosema usijinyme kuvijua ukiwa ngali Tanzania, through TV, films, documentaries etc.

However, kuna tofauti ya kuvishuhudia kwa macho, Nilishangaa mji wa Toronto, USA wanaita Canada kijijni, lakini angalia Toronto, annual film festivals zinafanyaikia hapa, achilia mbali stock exchange market ya owners wa migodi duniani hapa

Toronto.jpg

Tuombe Tanzania, mandhari mazuri ya DSM siku moja yawe hivi.

wenyeji wanauita Torono na sio Toronto

5756586_1831135a5f.jpg
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.
hii thread inafurahisha kweli,subiri summer utaona jinsi mchana unavyokuwa mrefu
 
Kwanza karibu sana JF. Ukimaliza kushangaa ya London naomba utembelee jiji la New York, Marekani uone magorofa yanayogusana na mbingu. Huko hata kisamvu pia utakuta kinauzwa bila noma.

Mkuu Jasusi, we acha tu haya mambo ya visamvu zamani ulikuwa huvipati vyakula vya kwetu mpaka uende China Town na huko maduka yao kwa kweli nilikuwa sipendi kwenda maana kuna harufu fulani ambayo huwa inanikera sana. Sasa makampuni makybwa yenye Supermarkets yakagundua kwamba kuna soko kubwa la wahamiaji kutoka sehemu mbali mbali duniani ambalo wanalikosa kutokana na kutokuwa na vyakula kutoka nchi hizo. Siku hizi visamvu, mihogo, ndizi mbichi na mzuzu, magimbi, unga wa ugali na vyakula vingine kibao vinapatikana katika masupermarkets makubwa. Wahamiaji wanazibadilisha nchi za magharibi kwa kasi kubwa sana.
 
Inafurahisha safari hii hujawa adui..
 
Inafurahisha safari hii hujawa adui..

Ha ha ha ha ha sikumbuki kama kuna siku niliwahi kuwa adui. Na hapa jukwaani nimepata marafiki wengi sana sidhani kama hilo lingwezekana kama ningekuwa adui. Maadui wangu ni mafisadi, Chama cha mafisadi na watetezi wote wa mafisadi ndani ya CCM na Serikali. Hao wote nitawachukia daima kwa kuiangamiza nchi yetu na kuikosesha maendeleo pamoja na kuwa na rasilimali nyingi sana.

Have a lovely day 😉
 
Na mimi ni rafiki yako?
 
Good post ndugu, though kuna vitu kama walivyosema usijinyme kuvijua ukiwa ngali Tanzania, through TV, films, documentaries etc.

However, kuna tofauti ya kuvishuhudia kwa macho, Nilishangaa mji wa Toronto, USA wanaita Canada kijijni, lakini angalia Toronto, annual film festivals zinafanyaikia hapa, achilia mbali stock exchange market ya owners wa migodi duniani hapa

Toronto.jpg

Waberoya, umenikumbusha Blue Jays & 'the dome' + mtaa mrefu duniani Yonge str
 
Nasi Jiji Letu hilo maraha... a.k.a Dar, Dizim, DSM, Bongo... formerly Mzizima.

6245d1256057501-a-dsm1.jpg

dsm1.jpg

6246d1256057501-a-dsm2.jpg

​

dsm2.jpg
​
 
Sasa mwanawane si ungewekaga na mapicha tukafaidigi wote japo kwa macho kama yule anaekasirishwa na mafisadi alivyoweka za kule Ntwara.Kama kwenye ma Imalaseko ya uko kuna unga wa muhogo,haujakutana na mzungu anaongea kisukuma mwanawane!Eeeeeh

Hivi wewe ukishangaa kitu unakuwa na akili hata ya kipiga picha?? Mwenzako hata kamera yenyewe hana, bado hajaenda kuishangaa huko madukani, hasa ile inayokuonyesha picha hapo hapo.

Kila la heri uliyebahatika kuona hayo yote, nami nasisitiza ukishamaliza kushangaa tuwekeeage na picha zenyewe na wenzako tusafishage machoo..
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.
🙂🙂Kumbeeee!! Ndio Ulaya hiyoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom