London ni mji Mzuri sana sijaona

Hii Hapa New York City. Dunia nzima namba moja!
new_york_city.jpg

Pakawaida tu nilikuwa pale kama wiki 2.
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.

umeandika mineno miiiiingii..hiyo "MBAKA" ndio ulitaka kumaanisha "MPAKA"...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom