London ni mji Mzuri sana sijaona

Rsaid

New Member
Oct 18, 2009
1
3
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.
 
Kwanza karibu sana JF. Ukimaliza kushangaa ya London naomba utembelee jiji la New York, Marekani uone magorofa yanayogusana na mbingu. Huko hata kisamvu pia utakuta kinauzwa bila noma.
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.

Rsaid kama una uwezo wa kutumia internet pamoja na kusoma na kuandika basi hata kama hukufika hapo London ungekuwa umeshaona walau picha ama hata kusikia stori. Hata hivyo inaonyesha umefurahiwa sana wakati wa mikakati hiyo ya kuonyeshwa maswala ya ugenini. Pia kama ni kweli umeshangazwa sana na hayo ya huko London,basi kuna uwezekano mkubwa ukashangazwa na ya hapa JF....Kwanza karibu JF,Pili nakutakia ufuatiliaji mwema wa mijadala.

Mwisho swali langu kwako: Je hayo maendeleo ya London yanawezekana Tanzania? btw hilo la giza kuingia mapema na wewe kuona kama dunia inakwisha limeniacha hoi.
 
Karibu sana Rsaid,

........dah halafu kipupwe mwaka huu kimeanza mapema.......dah noma kweli
 
duh hii kali, haya endelea kushangaa, ukimaliza uje hapa JF kuchangai mada
 
Sasa mwanawane si ungewekaga na mapicha tukafaidigi wote japo kwa macho kama yule anaekasirishwa na mafisadi alivyoweka za kule Ntwara.Kama kwenye ma Imalaseko ya uko kuna unga wa muhogo,haujakutana na mzungu anaongea kisukuma mwanawane!Eeeeeh
 
Thanx kwa kuwa mkweli.watanzania wengi wanapenda kujifanya wameshazoea wanayoyakuta nchi za watu.kama vile na daresalaam ipo hivyo hivyo.

Natamani watanzania wengi wangekuwa honest kama ulivyo wewe.

Kila mtu ni mshamba sometimes...
 
Huyu bwana ananikumbusha hadithi na kipofu na tembo, natumai akienda Frankfurt atashangaa sana, akipata bahati ya kwenda kwenye jiji la watu wasiolala, jiji lisili na usiku NewYork atapiga yowe. Ila tatizo ni kwamba point of reference yake ni bongo ndio maana anashangaa sana London. Karibu Frankfurt, thomasmann strasse!
 
Du jamaa kaukata kuona moja kati ya miji mikubwa sasa.

London ni mji wa kimataifa kwa biashara ,utalii na usafiri.Hata hivyo ni mji mzee sana.

Hebu kaa zaidi hapo London na utaona maajabu ya Musa.

Mimi nilipofika hapo kwa mara ya kwanza 1984 nilishudia a Londoner , msafi na amepiga suti na tai murua mbele yangu.

Mara akligeukia pipa la taka ,achakakura na kutoa kipande cha mkate na akala huku akikaa benchi la karibu baada ya kukunja nne!

Na mimi nilishangaa!

Kuna masikini wengi sana hapo waliovaa suti.
 
Huyu bwana ananikumbusha hadithi na kipofu na tembo, natumai akienda Frankfurt atashangaa sana, akipata bahati ya kwenda kwenye jiji la watu wasiolala, jiji lisili na usiku NewYork atapiga yowe. Ila tatizo ni kwamba point of reference yake ni bongo ndio maana anashangaa sana London. Karibu Frankfurt, thomasmann strasse!

Mkuu Magehema,
Nimekuwa nauwaza saana huu mji hasa baada ya kusoma kuwa ndiyo mji TAJIRI kupita yoote German. Na kwa kuwa German ndiyo nchi tajiri ULAYA, hii inaifanya Frankfurt au sema "Frank-Ford" kuwa mji tajiri kupita yoote Ulaya. Nikipata nguvu kunako majaliwa,nitaanzia hapo kuja kutoa ushamba maana hizo twin tower zenu na Airport kwa kweli zinazungusha mtu akili.

Kwa mgeni wa London, ujitahidi utembee maana Ulaya hii wenzetu kwa kweli wameendelea saana. Ukianzia huko London, uje kwa akina Barcelona, Berlin. Nenda Stockholm na upitie Amsterdam, hapo utapata BANGI la nguvu kama wee ni mvutaji. Na linauzwa waziwazi kwenye mgahawa. Waweza kushuka Moscow, jiji la watu zaidi ya milioni 10, uone magari mengi kuzidi mji wowote Ulaya. Unaweza upitie Praha, mji wenye watalii wengi kuzidi wenyeji wa mji huo. Waweza chukua train na kushuka Ufaransa kwenda kula Vyura na wine. Usisahau kufika vatican, kuangalia historia ya dunia hii na hapo hapo utakuwa umeiona Roma.............

Ila kumbuka kuwa JF pia inachangiwa. Hivyo karibu sana uchangie kimawazo na kipesa. Ukichangia, kuna mengi pia utafaidi hapa JF. Karibu saana JF na safari njema Ulaya. Tunaomba picha na sisi wa huku shamba tuone mwenzetu ulichokiona.
 
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.

kweli kaka,ilakama umetumwa na serekali kikazi whatever jaribu kucopy moja au mawili muhimu uwapelekee bongo land,mimi kwa sasa nashangaa Singapore City hakuna kulala,huku hata vitu Ulaya kuna mambo sijayaona na nimefika jana tu
 
???????????
 
ukistaajabu ya musa......
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.

Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.

Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.

Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.

Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.

Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.
 
Hii Hapa New York City. Dunia nzima namba moja!
new_york_city.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom