Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,438
- 271,949
CNN hapa saizi wametoa habari ya Acid attack kwa hao mabinti huko Zanzibar wanarudishwa nyumbani..
JK na watu wake wa usalama waamke sio ishara nzuri hata kidogo..
wala hawajali lolote .
CNN hapa saizi wametoa habari ya Acid attack kwa hao mabinti huko Zanzibar wanarudishwa nyumbani..
JK na watu wake wa usalama waamke sio ishara nzuri hata kidogo..
Mawazo finyu!
Nchi ya Tindikali,unga,ufisadi.ung'oaji watu meno na kucha,mauaji,wizi wa mali ya umma,kuua tembo,udini nk
Waulizwe hao WAISLAMU wa Zanzibar hao watoto wenye miaka 18 wamewakosea nini hadi kuwapa adhabu isiyowafaa kiasi hicho?
Walikuwa kwenye Mfungo wa Ramadhani,ndiyo mawaidha yaliyokuwa yakitolewa hayo kuwafanyizia watu wasio na kosa lolote bila sababu za msingi?
TUNAOMBA MAJIBU TOKA ZANZIBAR
lete yaliyopanuka basi .
Naapa rasmi hapa jf leo , sitoenda tena Zanzibar katika kipindi hiki kifupi nilichobakiwa nacho hapa duniani , afadhali Hata KABUL .
Nina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London.
Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi:
CHARITY GIRLS IN ACID HORROR halafu kuna picha 2 za hawa teenage girls,Kirstie Trup & Katie Gee.
Hii feature article inaendelea hadi page 5 kuna picha zao tena ,kwa ufupi inaelezea walikuwa Zanzibar kuvolunteer kwenye art charity .Katie anatarajiwa kujiunga na Nottingham University kusoma sociology next month na mwingine Bristol Uni kusoma History.
Page 5 also kuna sub-heading "Island paradise with a dark underbelly"
Inaelezea uzuri wa Zanzibar,hata developers kujaribu kuiturn into another Seychelles.Lakini sio hivyo tena ,inasimulia
allegations za uchakachuazi wa matokeo ya uchaguzi na CUF kutaka uhuru toka Tanzania.
Inazungumzia the rise of Islamic Party Uamsho(The Awakening).Pamoja na boom ya utalii,bado kuna matatizo ya ajira,a heroin epidemic na umaskini.
Hii ni PR mbaya sana .Ziara za Obama,Bush,Clinton au Shinawatra nchini haziwezi kupewa heading kama hii.
hili la watoto wa london litatupeleka pabaya!muingereza kwa kukuza maneno hajambo!
Naapa rasmi hapa jf leo , sitoenda tena Zanzibar katika kipindi hiki kifupi nilichobakiwa nacho hapa duniani , afadhali Hata KABUL .
shehe ponda alikuwa huko siku chache zilizopita kabla ya tukio.
hili la watoto wa london litatupeleka pabaya!muingereza kwa kukuza maneno hajambo!