muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Nina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London.
Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi:
CHARITY GIRLS IN ACID HORROR halafu kuna picha 2 za hawa teenage girls,Kirstie Trup & Katie Gee.
Hii feature article inaendelea hadi page 5 kuna picha zao tena ,kwa ufupi inaelezea walikuwa Zanzibar kuvolunteer kwenye art charity .Katie anatarajiwa kujiunga na Nottingham University kusoma sociology next month na mwingine Bristol Uni kusoma History.
Page 5 also kuna sub-heading "Island paradise with a dark underbelly"
Inaelezea uzuri wa Zanzibar,hata developers kujaribu kuiturn into another Seychelles.Lakini sio hivyo tena ,inasimulia
allegations za uchakachuazi wa matokeo ya uchaguzi na CUF kutaka uhuru toka Tanzania.
Inazungumzia the rise of Islamic Party Uamsho(The Awakening).Pamoja na boom ya utalii,bado kuna matatizo ya ajira,a heroin epidemic na umaskini.
Hii ni PR mbaya sana .Ziara za Obama,Bush,Clinton au Shinawatra nchini haziwezi kupewa heading kama hii.
hao ni warabu wa pemba yakhe, wanajuana kwa vilemba ati!