London Evening Standard

London Evening Standard

Dr. Who ooops GT .... ... wrong number nilikuwa sijaiona hii ... ..... ...
 
Zanzibar ni nchi ya mambo yake, yanayotokea huko hayatuhusu.

haha....ila vimambo vyao wanapenda sana kutushirikisha.Eti hawali kitu bila jirani na jirani asiyeshiriki mambo yao wanamwona si mwema.
 
It is true,mpaka tuwe na serikali independent ya Tanganyika,tuwaachie wao na mambo yao ya ki mashariki ya kati

Acheni unafiki nyinyi...
Eti matukio ya kimashariki ya kati...
Wiki iliyopita Jamaa wa home shoping center alimwagiwa acid..
Juzi mhadhiri Amepigwa Risasi na kuuliwa ...
Pia mfanyabiashara ameuliwa huko Arusha...

Je haya ni matukio ya Kimgharibi ya kati ?
Uhalifu ni uhalifu haijalishi amefanyiwa nani ...
Au kwa sababu wamefanyiwa wazungu ndio mnakuja na vi-comment vyenu vya kinafiki...?

Kama una chuki zako binafsi na Zenji wewe sema tu tutakuelewa...
Uhalifu unafanyika huku kwetu Tanganyika kila siku....
 
Nchi ya Tindikali,unga,ufisadi.ung'oaji watu meno na kucha,mauaji,wizi wa mali ya umma,kuua tembo,udini nk


Waulizwe hao WAISLAMU wa Zanzibar hao watoto wenye miaka 18 wamewakosea nini hadi kuwapa adhabu isiyowafaa kiasi hicho?

Walikuwa kwenye Mfungo wa Ramadhani,ndiyo mawaidha yaliyokuwa yakitolewa hayo kuwafanyizia watu wasio na kosa lolote bila sababu za msingi?


TUNAOMBA MAJIBU TOKA ZANZIBAR
kwann unauthumu uislam ndo umehusika? subirini wafanye uchunguzi kwanza, mbona arusha mlisema ni waislam alafu mtuhumiwa anajina la kikristo
 
hili la watoto wa london litatupeleka pabaya!muingereza kwa kukuza maneno hajambo!

Kukuza mambo? Wewe unataka wafanye mzaha kama sisi tunavyofanyia mambo ya hatari mzaha? Bomu linarushwa kwenye mkutano linaua na watu bado wanafanya mzaha! Wao wanaona mbali bwana, sio sisi tunafikiria ya dakika tano zijazo tu
 
Na nyinyi mnaoua ndugu zenu Albino ni wa Mashariki ya wapi? Na mnapouana kule mkoani MARA? au kwa sababu hawa sio waingereza? Juzi tu mfanya biashara maarufu kapigwa risasi Arusha, Ni vikongwe wangapi wameuawa kwa tuhuma za uchawi. Msiwe kama nyani, maana nyani daima haoni...............
 
Back
Top Bottom