Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Paw how old are you happy belated birthday nilikuwa vacation kidogo AshaDii naimani sijakuangusha !
44.creative_cake_designs.jpg



1.creative_cake_designs.jpg




2.creative_cake_designs.jpg
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Bosi......japo nimechelewa.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
King'asti Always you lead the way. Hao wengine ni wachokozi tu wala usihofu

Nikushukuruni wana Chit-Chat kwa kunitakia maisha marefu na afya huko mbeleni. Nami sitawaangusha ntapunguza chips yai ili kuishi kwenye wishes zenu....

Kwangu imekuwa faraja sana kupokea pongezi na chereko zenu. Juzi nimeng'oa jino na limeanza kuota kwa maombi yenu.


 
Last edited by a moderator:
hahaha! Una wivu wewe! Kisa tu mleta cake analishwa cake na BD boy? hahaha! Basi yeye awasimamie akina shem Asprin kule stoo ya vinywaji, hatutaki yatokee la last year ya kuiba glass champagne.
Kiukweli kabisa shem AshaDii, huku kwenye kamati ya vinywaji hatuhitaji msaada wala usimamizi wowote ule. Isitoshe vigezo na masharti ya jinsia lazima yaheshimiwe...

Baada ya kusena hayo namtakia Paw heri ya siku yake ya kuzaliwa.

Hii inamaanisha mwaka huu sitapigwa Ban hata nikimtukana Invizibo.

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Last edited by a moderator:
happy belated birthday Paw
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Du! haya mambo ya kufungiwa weekend haya.......
hata hivyo naona sijachelewa sana mkuu Paw, better than never
belated_birthday_graphics_01-1.gif
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.../QUOTE]

Dah ni furaha kujua nimezliw siku moja na paw!! Nimegundua watu tunaozaliwa 2nd dec ni werevu sana na tuna personality ya kipekee(if my posts and paw‘s are anything to go by lol!)
Hapi birthday to me!
And hapi birthday to paw!!
Mkuu hongera sana kwa kuzaliwa this date. Mungu akupe afya na maisha tele na nguvu ya kuzikabili changamoto za maisha...

Paw mbona sikupata mwaliko, BAN inakunyemelea
Hahahaha Mkuu Niwie radhi bana. Mwakani ntakualika

Jamani Paw hutaki hata Msaidizi? King'asti akiwa anaumwa je?
Haya Bhana.
Nasi twakushukuru sana.
Mmmh naona unataka ninunue maneno sasa veve, #Just Saying#
 
Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.

Nilipaswa kudamkia ibadani lakini guts zikanileta online, ndo nakutana na zahama la kuzushiwa kuaga dunia (ingawa poster alitaka kutumia tamathali ya semi).....
naomba katikati ya maombolezo yangu upokee heri yangu ya siku yako ya kuzaliwa mkuu..
nakutakia maisha mena na yenye furaha tele.
naomba unitumie hiyo picha ya keki tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Asprin unaogopa kumtukana Invisible? we tukana tu hata kama ni Fang huu mwisho wa mwaka wametoa ofa ya matusi free mshindi ataambatana na couple yake hadi Guatenamo naomba usinikumbuke kwenye ufalme wako nakutakia safari njema till next year
 
Last edited by a moderator:
Asprin unaogopa kumtukana Invisible? we tukana tu hata kama ni Fang huu mwisho wa mwaka wametoa ofa ya matusi free mshindi ataambatana na couple yake hadi Guatenamo naomba usinikumbuke kwenye ufalme wako nakutakia safari njema till next year
Ushindwe na ulegee, Paw akikupiga warning igeuke kuwa BAN!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom