King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
ndoa zenu za memkwa mie akhuuu! Sitaki hata kuwasikia.Umeona eeh, mwambie aje kwangu ale mema ya nchi!! PAW Kutwa PM imejaa makopa.
Halafu taarif nilizonazo ni kwamba atahamishiwa Jukwaa la chini kabisa, hapo ndio mwisho wa maneno.
sweetlady, ingekuwa wewe umepata tunu hii ungeacha kujihashua? Heheheh, mjini mipangooo!
Last edited by a moderator: