Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Akhu Unitue Mwanaume wewe Alokwambia Nataka nishoo :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: na Paw nani?
Nina wangu mie Katulia Nyumbani Mzima mzima ananifulia nguo zangu.
Huyo Paw hizo kazi ataziweza!!!!
maneno meeeeeeeengi!
 
Last edited by a moderator:
wale wote mliochakachua thread ya His Excellency,the most exalted,his gracious,the most pious sir Paw wooooote nawaombea BAN!
 
Last edited by a moderator:
wKlFGND3dRnFQAAAABJRU5ErkJggg==
Paw!!
Wanaokuombea kifo wafe wao kabla yako, uishi mara 10 zaidi ya umri uliofikia leo, Mungu akuoneshe rais wa 10 wa 'inji' hii, Once again Happy Birthday man.
 
Last edited by a moderator:
snowhite Ukishapata hiyo zawadi upitie na hii yangu. Usisahau kuniletea hiyo cake baada ya Paw kuipigia picha. Najua hatoikata maana ni ya kupigia picha tu. Happy birthday Paw!
 
Last edited by a moderator:
umeshatoka selo ama unatumia simu ukiwa kizuizini? Unajua yaliyompata binamu yako liyumba ewh. You are warned.
acha kuntishia nyau,hivi hujui siku liyumba anaswekwa ndani kinondoni nzima wanawake ilikuwa ni vilio? Chezeiya kidume liyumba wewe.
 
Aisee! Happy bday Paw! Hakyanani ningepigwamo ban nisingehudhuriA hii sherehe! Paw unasaligi aisee?
 
Last edited by a moderator:
Ukishapata hiyo zawadi upitie na hii yangu. Usisahau kuniletea hiyo cake baada ya Paw kuipigia picha. Najua hatoikata maana ni ya kupigia picha tu. Happy birthday Paw!

mwaJ twen zetu msiri wangu leo nina issue
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya hazbendi na familia nzima, tunashukuru woote waliohudhuria sherehe hii. Party ilifana sana. Tunaendelea kupokea zawadi na salamu za pongezi.
NN: Bishanga et al, naomba konyagi.zilizobaki na grants zikusanywe zote. Erickb52 angalia bishanga asiibe vinywaji tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Believe me or not, nobody will get banned for the whole next week. This is a specialized and a calculated program to mark Paw`s birthday!!
[bt plz dont misbehave, coz other mods are squarely @work!]
 
Back
Top Bottom