Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.../QUOTE]

Dah ni furaha kujua nimezliw siku moja na paw!! Nimegundua watu tunaozaliwa 2nd dec ni werevu sana na tuna personality ya kipekee(if my posts and paw‘s are anything to go by lol!)
Hapi birthday to me!
And hapi birthday to paw!!
 
Mtambuzi Leo, itabidi nikarale na cacico jamani, maana du! anafanana na Maureen ile mbayaaaa.... uyo PAW ndio naniiii? Happy birthday kwake na Allah amzidishie umri na maujanja zaidi...
 
Last edited by a moderator:
kaka nakuaminia kwenye vinywaji. Event organiser wa familia AshaDii anataka kutusurprise. Usitie shaka. Keki nimetengeneza mwenyewe kwa mikono yangu.
Yan hapa niko naelekea supermarket kubeba aiba zote za vinywaji vilivyoko huko!
Najua Vodka na Pombekali wataenjoy sana leo.
Asprin hebu nipe list ya matoleo mapya ya vinywaji!
 
Last edited by a moderator:
Mkwe shkamoo! Kwani nimie basi mkwe ?
Hii midata yote naletewa na Bishanga!
Hata punde hivi katoka nambia eti Pou keshajenga kwao King'asti nyumba 3! Ilhali kwao Pou hajawekeza hata stoni la preimare !
sasa kama kwao kuna visima vya mafuta na mapetrol station ya kurithi na makasri? Ajenge ya nini? Majungu mtaji siku hizi, kupendwa rahaaaa! Utakoma kaka.
 
Last edited by a moderator:
Yan hapa niko naelekea supermarket kubeba aiba zote za vinywaji vilivyoko huko!
Najua Vodka na Pombekali wataenjoy sana leo.
Asprin hebu nipe list ya matoleo mapya ya vinywaji!

usisahau juice, miss judith atakuwepo. Asante kaka, huyo Bishanga angekaa hadi jumatatu selo ningefurahia. Ana majungu na anataka kumtafutia nyumba ndogo shem wako.
 
Last edited by a moderator:
mimi hapa mtani, tafwaadhali nieleze mimi huyu bi dada kaegesha wapi leo kama simuelewi vile...
nilikutana nae mahala fulani hivi lukwiiri kweli(hapa mwite mtani wako mwingine dada mkubwa FP kwa ufafanuzi)
lakini sasa amenigeuzia kibao kuwa mie ndo nilikuwa natoka mpango wa kando ye alitoka kununua mbuzi!
BTW mtani leo mi ndo floor manager kwenye mnutho nishatengeneza unywele kabisaaa nicheki post #84 .naelekea ukumbini sa hizi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom