Paw
Content Manager
- Nov 14, 2010
- 2,116
- 1,349
Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.
Nilipaswa kudamkia ibadani lakini guts zikanileta online, ndo nakutana na zahama la kuzushiwa kuaga dunia (ingawa poster alitaka kutumia tamathali ya semi).
Wakuu nipo, tena nipo sana nikifuatilia na kumoderate kila kilichopo kwenye uwezo wa mimi kufanya. Bahati mbaya ni kwamba nimekuwa mkimya kuchangia hoja humu kwa sababu muda unanikaba kwei kwei.
Lakini kupitia facebook akaunti yangu ndo nimegundua kwamba nimezaliwa leo.
Hima nawahi duka la keki nipate keki ya kupiga nayo picha.