Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Acheni kujipendekeza kwa pou,kila siku mnamwish agongwe na treni mpumue ban,kwendeni zenu huko!
Bwana Pou mi ndo rafiki yako wa kweli bro,kula basi five kwenye besdei yako. By the way ushaoa? Kama bado nakutunuku Madame B kama zawadi yako ya besdei,enjoy! King'asti king'asti nini bana king'asti akae huko jikoni alee watoto,ponda raha Pou.

madameb, usije ukaponzwa na bepari. Mie sipigani vita, na especially wewe wa kwetu. Vikiidima utegona ishe iwe.
Ila B unamuongelea Pou, ndo nani huyo?
 
Last edited by a moderator:
Weeeh, Mentor, mbona unataka kumkosea heshima shemeji yako? Kwanza mhuni maana yake nini?

Afu ulivyoshauka basi duuh !
Kama mchuzi baada ya chachuo la ndimu pakaongezwa na embe mbichi !
Ushatupia comments 5! Na uzi ndiyo kwanza m'bichi !
Shauka mdogomdogo basi. Nway Mr. Paw nikutakie afya njema kwa skukuu yako adhimu.
Kuna jinuso?
 
Last edited by a moderator:
We humjui pou,katika ma cheater yeye ndo numero uno,we subiri uone kama hujamsikia yuko mangapwani unguja na Madame B leo,nasikia atasingizia eti seva ya jf zanzibar imepata konkasheni.
mbona mie namsindikiza kazi zote? Mie namuamini kwa hiyo sidhani kama unahitaji kuwa na wasiwasi. Msakizie huyo Madame B uone sasa.
 
Last edited by a moderator:
Afu ulivyoshauka basi duuh !
Kama mchuzi baada ya chachuo la ndimu pakaongezwa na embe mbichi !
Ushatupia comments 5! Na uzi ndiyo kwanza m'bichi !
Shauka mdogomdogo basi. Nway Mr. Paw nikutakie afya njema kwa skukuu yako adhimu.
Kuna jinuso?
hahaha, itawakera sanaaaaaa! Huzitaki mbichi hizi eeh, unalo kaka!
 
Last edited by a moderator:
Afu ulivyoshauka basi duuh !
Kama mchuzi baada ya chachuo la ndimu pakaongezwa na embe mbichi !
Ushatupia comments 5! Na uzi ndiyo kwanza m'bichi !
Shauka mdogomdogo basi. Nway Mr. Paw nikutakie afya njema kwa skukuu yako adhimu.
Kuna jinuso?
Jinuso wapi kaka? Kwani paw ana kitu basi? Hela yote kamalizia kwenye kumnunulia vidani king'asti.
 
Last edited by a moderator:
Hongera King'asti ooooh sorry hongera Paw
Unataka cake ya picha gani?y
AshaDii uje huku dada yangu!
Mi naenda kuleta mambo yetu kama kawa kitu baridiii!

kaka nakuaminia kwenye vinywaji. Event organiser wa familia AshaDii anataka kutusurprise. Usitie shaka. Keki nimetengeneza mwenyewe kwa mikono yangu.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mume ya King'asti, ila inakuaje keki unaenda kutafuta weye?, huyu bi dada hajalala nyumbani au?

nisilale home nilale wapi jamani? Mbona mashemeji wagomvi? Keki ni surprise wala hajaiona bado, so kahisi this year ametoswa. Ukisikia mama mwenye kujua nafasi yake ndo mie baba, tulia.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday Paw
kwa hisani ya mashosti wa muke yako (tukiongozwa na Natalia, mwaJ, Ciello na BADILI TABIA)ambaye hajakununulia keki na actually hakulala nyumbani leo ngoja mi nijimuvuzishe kutafuta zawadi!
OMG ! watu8 hivi ndo yule Paw mzee wa ban!yereuuuuuwih!
Lakini mi si nimetoa tu taarifa jamani!kosa langu liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Acheni kujipendekeza kwa pou,kila siku mnamwish agongwe na treni mpumue ban,kwendeni zenu huko!
Bwana Pou mi ndo rafiki yako wa kweli bro,kula basi five kwenye besdei yako. By the way ushaoa? Kama bado nakutunuku Madame B kama zawadi yako ya besdei,enjoy! King'asti king'asti nini bana king'asti akae huko jikoni alee watoto,ponda raha Pou.

Akhaaaaa'
Sitaki Presha mie
Huyo Paw nitamuwezea wapi?
Kutwa kucha yuko Online na mie nataka kila saa tuwe twaserebuka. Bishanga unantafuta.
Nitakusuta kwa Nyimbo na :drum:
 
Last edited by a moderator:
yaani kweli majungu mtaji. Wewe tumekutana alfajiri natoka kununua mbuzi wa ndafu unadhani ndo nilikuwa narudi? Saa zile Paw alishapata na morning glory, hatakuamini asilani.
mh!mbona mbuzi mwenye sijakuona nae?hakuna lolote!ulikokuwa useme tu !
 
Back
Top Bottom