Sijaoja ya vinywaji kapewa nani......Naweza kujipendekeza? Mimi ni kiongozi nipo tayari kubeba mzigo mzito
hehehe! Acha kutega... Huoni hapo palivyo pwaya? hao ni waliopo kwenye group na sio group zima. So wewe sasa tunaomba uwe floor manager, hakikisha wote kazi wanafanya vizuri na wategevu wa sherehe kama Mwa J, charminglady, Natalie na Mentor wasitegee kabisaaa. Then uongeze wengine mahala ambapo kumepwaya... unasemaje 'Floor Manager'?
Si wajua tena nilikuwa maternity mambo yalinipita... haya basi wasiliana na Floor manager snowhite nani achukue hizo nafasi...
Alafu nani anapiga picha jamani? Mbuzi Mzee, Don Mangi, Boflo MziziMkavu ama Bujibuji?
enheeeeee hapo umenipatiaaaaje!na ningekaa kweli home mie mpaka sa mbili usiku ndo niingie ukumbini!lakini kwa kunipa hilo jukumu!lol nabadili na route kabisa pa kwenda kuchukulia mparo nikitoka huko napitiliza kabisa eneo la tukio niangalie kama mambo yote yako bien kisha nitapita saluni kutengeneza nywele kama hivi
halafu nitavalia huko huko na kuja ukumbini!![]()
Hivi unadhani ukitumia kujipendekeza ndio utaachiwa?? Ulie tu... Angalia vizuri hapo nimesema baba watoto ndio ataongoza. Ila sababu anashinda saana mpaka wa Malawi sio mbaya ukiongoza wewe... Hebu chagua kabisa wa kukusaidia huko.
naomba ufunike ushungi tafadhali. That is for ur own good.enheeeeee hapo umenipatiaaaaje!na ningekaa kweli home mie mpaka sa mbili usiku ndo niingie ukumbini!lakini kwa kunipa hilo jukumu!lol nabadili na route kabisa pa kwenda kuchukulia mparo nikitoka huko napitiliza kabisa eneo la tukio niangalie kama mambo yote yako bien kisha nitapita saluni kutengeneza nywele kama hivi
halafu nitavalia huko huko na kuja ukumbini!![]()