Lodge za madrreva malori hizo, kunguni na malaya kwao burudani tu.Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Una NIDA?Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Uneshatick in advance
Halafu Hilo ni tatizo sugu la miaka mingi sana miaka Tisa iliyopita nimelala msavu hapo hao kunguni walikuwa ni balaaa Ili bidi niamke nikae kwenye bado kungunguni wananifuata ilikuwa ni balaaNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Hawa watu wa moro usafi ni changamoto kwaoHalafu Hilo ni tatizo sugu la miaka mingi sana miaka Tisa iliyopita nimelala msavu hapo hao kunguni walikuwa ni balaaa Ili bidi niamke nikae kwenye bado kungunguni wananifuata ilikuwa ni balaa
Kwahiyo, hiyo loji moja ya 25k uliyolala ndo uje useme loji zote msamvu zina kunguni???Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Mbaya zaidi unaweza kuwahamishia nyumbani kwako. Angalia sana... ukifika kama ulikuwa na mizigo usiingize ndani bila kukagua. Au wewe, nguo na viatu ulivyovaa. Ni wajanja sana. Wanajua hapo wako wengi hivyo wengine watahama kwa kukutumia wewe.Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Sio hiariSifanyi hizo mambo mkuu
Wakati nipo Kwa ndugu Kuna dogo mmoja nilikuwa nalala nae.sasa yeye alikuwa na tabia akifua nguo zake ana Anika ndani.kwenye kitanda cha double deka.yeye analala juu Mimi chini.kumbe Yale maji yakiingia kwenye godoro yanaweka uchafu.kuna siku nimelala naangalia kwenye neti naona mjomba anapita nikasema ehee kunguni.nikamuua mmoja kesho Tena nikamuona mwingine nikasema hapa tushavamiwa kuja kufunua godoro na kwenye chaga.wapo wa kutosha na mayai KIBAOKunguni ni shida.Wananikumbusha enzi zile niliwahi kulala stesheni ya reli Dodoma.Kulikuwa na kunguni kwenye mabenchi pale si mchezo.Tulikesha tumesimama.
Ungemkata makofi ili aache upuuzi wake.Wakati nipo Kwa ndugu Kuna dogo mmoja nilikuwa nalala nae.sasa yeye alikuwa na tabia akifua nguo zake ana Anika ndani.kwenye kitanda cha double deka.yeye analala juu Mimi chini.kumbe Yale maji yakiingia kwenye godoro yanaweka uchafu.kuna siku nimelala naangalia kwenye neti naona mjomba anapita nikasema ehee kunguni.nikamuua mmoja kesho Tena nikamuona mwingine nikasema hapa tushavamiwa kuja kufunua godoro na kwenye chaga.wapo wa kutosha na mayai KIBAO
Ukiwa unataka kwenda andaa mazingira ufanye fumigation kabisa.Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
😹😹😹 Sasa ungewachukua halafu uwaweke chini kisha uwapandie juu kujinusuru na kunguni..!!Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.