Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,122
- 14,903
Nilienda Mwanza hiyo 25k ni hotel kabisa.Maeneo mengine gest ya 25k ni gest ghali sana na ni ya maana!
Nilienda Mwanza hiyo 25k ni hotel kabisa.Maeneo mengine gest ya 25k ni gest ghali sana na ni ya maana!
Singida lodge ya 15000 ni bonge la lodge aiseeSingida hapo nililala Lodge ya 20k ni safi na nzuri sana.
Sinza kuna lodge inaitwa vienna ina kunguni niligombana na wife saa kumi usiku nikajifanya nimezila naondoka kwa hasira nikatoka kwangu nikaenda kulala vienaNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
na sometime ukienda kahama hiyo 25000 ni bonge la hotel kabisaNilienda Mwanza hiyo 25k ni hotel kabisa.
Kumbe na huduma ipo....nitakuja weekendNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Nenda Midland ipo njia ya Iringa apo muulize Daa Sophy bonge flan iviNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Sasa mkuu kilichokuudhi ni kugongewa mlango au uwepo wa kunguni? Kwani kichakatio(kigegedeo) cha mbususu huna?Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Waluguru Malaya tuNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Vile vi braza vinauma huwezi kulala mamaNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Pale msamvu ndinga zinapita muda wote silali kwenye kungunichuma zinapepea 24 HRS inakuaje ukalala msamvu 😂