Moro ni pabayaNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Kwa hiyo saa hizi unatembea huku unajikuna mkuu?Hatari sana hizo guest houses za ndugu wa damu na wazaramu.Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
😁😂Kwa hiyo saa hizi unatembea huku unajikuna mkuu?Hatari sana hizo guest houses za ndugu wa damu na wazaramu.
Kunguni ni shida.Wananikumbusha enzi zile niliwahi kulala stesheni ya reli Dodoma.Kulikuwa na kunguni kwenye mabenchi pale si mchezo.Tulikesha tumesimama.Balaa la mjomba kunguni sio la Dunia hii
Kwa hiyo anaota ndoto tu?Uongo
Maeneo mengine gest ya 25k ni gest ghali sana na ni ya maana!Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Wanajua hulali kutokana na kunguni ili wakupe kampaniNimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Mwaka gani huo mkuu?Kunguni ni shida.Wananikumbusha enzi zile niliwahi kulala stesheni ya reli Dodoma.Kulikuwa na kunguni kwenye mabenchi pale si mchezo.Tulikesha tumesimama.
Mwaka 1998 nakumbuka.Hectic!Mwaka gani huo mkuu?
Teh teh teh teh!Unawaonea tu sababu hawana bahari.Moro ni mji wa kichovu sana