Kwann usigoogle
Hotels in singida
Uchague mwenyewe of ur choice kama ni booking ufanye pia?!
Ukishaipata nambie nikuunganishe na Malaya wa hapo mfanye biashara ( I'm not serious)Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
Nadhani hujakosea! Guest nazo ndiyo usiseme kabisa.Lodge nyingi za singida ni chaafu sana,usipotoka na mafua ni bahati yako
Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
25,000_30Affordable kwako ni sh ngapi?
Nadhani hujakosea! Guest nazo ndiyo usiseme kabisa.
25,000_30
Jane Mimi natoka...Dodoma kuelekea Mkoa!Nenda Dodoma utapata lodge nzuri sana
Range ya bei ni kubwa sana 30,000-800,000?Karibu Choice plaza mkuu!ni pazuri sana bei kuanzia 30000 mpaka 800000!
Nakushauri kama unashuka stendi ya basi chukua bajaji n miatano au pikipiki buku mwambie akupeleke Rockside pale hutojuta zipo mbili mwambie hii ya juu bei n kumi na tano full shower kitanda kikubwa shuka nyeupe screen nzuri asubuh breakfast ya yai chai ziwa na nkate pale mie ndo huwa nafikia kula n kushuka chin kidogo tuu panaitwa ubungo nafkir hapo ndo Singida huwa pamekucha usiku na kuna club pia kama mbili hv maeneo hayo bila kusahau baa maarufu Serengeti japo nlipita hapo ka wiki mbili zilizopita palikuwa kwenye matengenezo nakushauri nenda hutojuta waambie wakupeleke room za juu Kule full kutuliaWakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
Nenda Meatu hotel iko pale mjini bei maelewano zaidi ila minimum room yao ni 30k-35k. Pasafi sana na ulinzi plus chini pale kuna sehemu ya kupiga kinywaji. Kama upo na mtoto mzuri sana basi nenda regency resort upate lake view ya maana sana.Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
Hii inanikumbusha ITEGA LODGE katikati ya JIJI la DODOMA, 2013 hiyo nilijuta mzeee usiku nikujikuna tu alafu nipo na mtoto naamka kumulika kwenye angle za net wajuba wamepoa... Asee nilienda mapokezi nilikiwasha hawatasahau....Range ya bei ni kubwa sana 30,000-800,000?
Ila Singida sitapasahua kuna mwaka nilifika hapo usiku wa manane na stendi ilikuwa hapo city center.nililengeshwa guest moja usiku mzima siku lalala kuna vidudu vili niuma usiku kucha.nilikuwa sijui kuwa ni kunguni.halafu pia upande mwngine kuna masela walikuwa wanafany yao kwa makelele makubwa sana.usiku ulikuwa mrefu sana.nikikumbuka Guest za singida mwili unanisisimuka kabisa.
Nadhani pia mkuu usichague lodge za bei ya chini.maana nadhani suala la usafi hapo singida bado lipo chini.nahisi unaweza rudi na wadudu home