Mliopo Morogoro town nini tofauti ya lodge ya elfu 15, 20, na 30

Wajuvi wa lodge za hapo moro kuna tofauti gani kati ya guest za elfu 15, 20 na 30?

Nataka lodge nzuri kiasi lakini pawe na unafuu wa bei.

Mapopo ruksa kuelekeza viwanja vya bata
panda basi za Mazimbu, shuka kituo kimoja kabla ya Dark City (nimekisahau jina),
kuna lodge safi pale ya 30k
iko karibu na chuo cha SUA 😋
kama ni mzee wa watoto wa chuo basi utagegeda mpaka uchoke wewe
 
panda basi za Mazimbu, shuka kituo kimoja kabla ya Dark City (nimekisahau jina),
kuna lodge safi pale ya 30k
iko karibu na chuo cha SUA 😋
kama ni mzee wa watoto wa chuo basi utagegeda mpaka uchoke wewe
Oya, pale unawaopoaje. Naonaga vinajifanya vipo busy na module.

Hafu Kiwanja cha Smaki Samaki ni ovyo sijawahi ona.
 
Wajuvi wa lodge za hapo moro kuna tofauti gani kati ya guest za elfu 15, 20 na 30?

Nataka lodge nzuri kiasi lakini pawe na unafuu wa bei.

Mapopo ruksa kuelekeza viwanja vya bata
Elfu 15 chafu, hawajali usafi kitanda ka cha miti godoro ulimi wa Mbwa, elfu 20 chafu, godoro zuri kidogo, kidogo hakuna Ac, 30 ni safi kidogo, godoro safi na plus A/c ya kuzugia.
 
panda basi za Mazimbu, shuka kituo kimoja kabla ya Dark City (nimekisahau jina),
kuna lodge safi pale ya 30k
iko karibu na chuo cha SUA 😋
kama ni mzee wa watoto wa chuo basi utagegeda mpaka uchoke wewe
Kumbe na wee unalijua hili chimbo 🤣🤣🤣🤣 aise watoto wenhi wa chuo wamepewa hiv hapo
 
Back
Top Bottom