Nimefika Newala salama

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.

Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.

Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.

Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..

# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.

Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.

But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.

Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.

Asante sana
 
Hongera sana, siku nikija huko nitakuambia tukutane Shimo la Mungu hotel tule mbuzi kidogo.

Usisahau matumizi ya kinga ukizidiwa
 
Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.

Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.

Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.

Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..

# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.

Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.

But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.

Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.

Asante sana
Mkuu usiondoke huko bila kuonja japo uno la kimakonde utanishukuru badae!
Tena ubahatike kupata wale namba A au B (kwa umri wao lazima wawe walipitia unyagoni maana miaka ile walikuwa wanafundwa vizuri sana!
Sio kama hivi vibinti vya sasa namba E
havijafundwa wala havijui mapenzi zaidi vinajua kunyonya boo tu na kuomba hela
 
Namba A au B ndio namba ngapi kaka?
 
Weka picha ya room yako na bathroom.
 
Karibu Newala ndugu,,wenyeji tupo hapa,,,leo ulienda Newala Pazuri..kesho elekea Big brother...baa Moja matata sana na bata mzinga kama wote....husisahau kuondoka na korosho Original kutoka hapa Newala....zilizookwa ambazo ni brown kilo Moja ni elf 13 tu.....ukiitaji kampani yangu kama ntakua free nichek dm
 
Mkuu usiondoke huko bila kuonja japo uno la kimakonde utanishukuru badae!
Tena ubahatike kupata wale namba A au B (kwa umri wao lazima wawe walipitia unyagoni maana miaka ile walikuwa wanafundwa vizuri sana!
Sio kama hivi vibinti vya sasa namba E
havijafundwa wala havijui mapenzi zaidi vinajua kunyonya boo tu na kuomba hela
Hahaha aisee achana kabisaa akutane na kiuno kina shanga nyingiiiii afuu walivyo wavumilivu kitandani atachoka yeye tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom