Lock haitoki

mkuu vidude huwa vinafunguliwaje maana kuna siku vilinikata mkono. nasikia huwa vinapigwa kwa chini but it does'nt work for me!

mkuu inatakiwa utingishie kabla haujaipiga kwa chini. Unaipga kwa kushtua dizaini hivi. Mwulize PakaJimmy huwa ndo ananifunguliaga
 
Last edited by a moderator:
Sasa unakwenda kanisani,na bado unakunywa pombe hivyo kumkosea Mungu.
Huoni kuwa ni muhimu kuwa na ibada itakayo badili maisha yako?
Nakushauri uokoke,utubu na kuziacha dhambi zako,naye Yesu atakusamehe kabisa.
Ubarikiwe na Bwana.
 
aisee bro pombe umeanza kunywa lini? mlevi hata siku moja hasahau neno la Mungu....Mbona ukiwa umelewa bado unakumbuka unakoishi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom