Lock haitoki

Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,983
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,983 1,500
Nimeenda kanisani nimesahau neno la leo.
Yaani loku imeng'ang'ania kabisa dah! Sijui pombe za boogaloo wanachanganya na nini.
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,194
Points
2,000
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,194 2,000
usiwe unaenda huko.....wale wanauza pombe za aina ya wanafunzi wa uhasibu......anko umekuwaje bana.....ina maana ulisahau sehemu ya kuja......?
 
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
3,860
Points
2,000
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
3,860 2,000
Kuja hapa Big L tuin'goe kwa lazima.
 
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Points
1,500
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 1,500
Nimeenda kanisani nimesahau neno la leo.
Yaani loku imeng'ang'ania kabisa dah! Sijui pombe za boogaloo wanachanganya na nini.
Wanachanganya na shetwaan
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Yaani Mungi umelandukia chachi ?
Veri anibilivaboo!
 
Last edited by a moderator:
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Lock = unlock... Kapige banana 4 itatoka iyo kitu humo kwa kichwa!
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,171
Points
2,000
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,171 2,000
usiwe unaenda huko.....wale wanauza pombe za aina ya wanafunzi wa uhasibu......anko umekuwaje bana.....ina maana ulisahau sehemu ya kuja......?

Preta nije wapi apo?
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,119
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,119 2,000
Pale central wanaweza kukusaidia hili tatizo lako tena bure!
Nimeenda kanisani nimesahau neno la leo.
Yaani loku imeng'ang'ania kabisa dah! Sijui pombe za boogaloo wanachanganya na nini.
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,028
Points
1,225
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,028 1,225
Tumia fatwuma... vunja
 
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,321
Points
1,250
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,321 1,250
Pole sana Mkuu! Usirudie tena kunywa bia za kutongozea mademu wa uhasibu.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,983
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,983 1,500
usiwe unaenda huko.....wale wanauza pombe za aina ya wanafunzi wa uhasibu......anko umekuwaje bana.....ina maana ulisahau sehemu ya kuja......?
uncle we si ulikataa kunielekeza sky?
Ngoja nitafute
 
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
6,636
Points
2,000
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
6,636 2,000
Pole Mungi ,unlock kwa kutumia ile ile loku!!!
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Mkuu piga kikonyagi kisichana, lazima itoke!!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,983
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,983 1,500
Pole Mungi ,unlock kwa kutumia ile ile loku!!!
Shem nimeshtukia yale mapombe ya boogaloo ni ya kutegea videnti kama anavyofanya ndg yangu Filipo, so nimeamua kuilazimisha itoke kwa tusker
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,365
Top