Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 102
Sasa msee mushi, wakikwambia whats goin on inakuwa sio upelelesi tena. subiri mbege ikolee utaletewa upulise pulise chicha.Hizi habari ni credible...Hivyo tunapongeza hatua hiyo!
Next thing sasa watueleze whats going on!
Sasa msee mushi, wakikwambia whats goin on inakuwa sio upelelesi tena. subiri mbege ikolee utaletewa upulise pulise chicha.
...maigizo tu haya, hamna kitu na ni ufujaji ulokithiri wa vijisenti vya walipa kodi!!
Nisaidieni ndugu .Hawa ndugu wanamtafutia Balali wapi ? Wanaingia kila nyumba ama inakuwaje ?
Namsubiri GT na maswali;
i) Wanalipwa allowance kiasi gani kwa siku hao mashushushu?
ii) Wanalipwa in $ au madafu?
iii) Who is footing the bill? FBI, CIA au Mugabe?
iv) Kwanini ikulu hawajaweka website mpaka leo, lakini wanaweza kutuma mashushu nje.
v)..........
vii).....
teh teh. GT, no offense mate.
Nzoka,
Baadhi ya maswali hayo, hasa kuhusu gharama na nani atazibeba, ni ya msingi kabisa hasa ukizingatia kuwa Wamarekani walisha offer kutuletea huyu bwana, sasa kuna ulazima gani wa sisi kutumia resources zetu kwa kufuja kama hivi?
Ndiyo maana mimi naamini kuna zengwe linataka kutembea hapa, issue siyo merely kumtafuta Balali na kumrudisha kwani kama ingekuwa hivyo tungekubali offer ya Marekani.
Nisaidieni ndugu .Hawa ndugu wanamtafutia Balali wapi ? Wanaingia kila nyumba ama inakuwaje ?
Yes, maswali ya GT huwa nayakubali, ila nimeona hayupo hewani nikampunguzia kazi.Nzoka,
Baadhi ya maswali hayo, hasa kuhusu gharama na nani atazibeba, ni ya msingi kabisa hasa ukizingatia kuwa Wamarekani walisha offer kutuletea huyu bwana, sasa kuna ulazima gani wa sisi kutumia resources zetu kwa kufuja kama hivi?
Ndiyo maana mimi naamini kuna zengwe linataka kutembea hapa, issue siyo merely kumtafuta Balali na kumrudisha kwani kama ingekuwa hivyo tungekubali offer ya Marekani.
Inawezekana kutokana na ile Tanzania Threshold Program waliyosaini na marekani imewapa pesa na wao wakaona wazitumie!
Under the program wamarekani wanakupa hata pesa za bure kufanikisha ukamatwaji huu hadi gharama za prosecution etc..Kwahiyo hapo kwenye gharama kuna uwezekano wa kuwapa break!
Ila kuna kuremba kwingi mno na hivyo inapelekea sisi kususpect usanii kama kawa!
Huu utakuwa ujumbe wa nne kuusikia umekwenda US kumtafuta Balali... miezi michache iliyopita walikuja wale wanaoitwa hitmen wakarudi/ama bado wapo wamejichimbia..wananchi tunafahamu hilo!
Inaonyesha wazi serikali yetu haitafuti njia za haki kupata suluhu ya swala hili la EPA kwa sababu nashindwa kabisa kuelewa kwa nini serikali yetu inamptafuta balali wakati tayari wamekwisha anza zoezi la kurudisha fedha hizo! Kwa ushahidi gani waliokuwa nao kufikia maamuzi ya kukusanya hizo fedha wakati Balali hajapatikana..
je, ina maana nusu ya fedha hizo (ambazo hazijakusanywa) haijulikani zilikwenda wapi?..
kwi kwi kwi...
Lunyungu yaani nimecheka hapa hadi mbavu zinauma..
Wanaingia nyumba kwa nyumba na nguo zao za mgambo wakiwa na virungu vyao mkononi...... huku wakiongea kwa lafudhi nzito za kikurya kuuliza kama kuna mtu amemwona Balali kokote kulee.......
(....sssshp, baby one mom', am hearin' a knock at the door.... )
....ko ko ko ko ko... Harrrooooo, harooo!... (mmmh, Ndaki rabda hawatusikii ndani, kuna rikengere hapo pembeni?!)
....haroo haroo, we're Tanzania Security
....anyone rivingi here?
....harooooo, we have got a search warranty, anyone rivingi here?!!
(...yes, how can i help you?!)
.....we are rookingi for doctor Barari, does he rrivu here?!
(...'amma fraid not, what the matter anyway?!)
.....he's a fisadist, we've been sent by the countri to capture him
.....he stole a rrot of money from our countri. Do you know where he rrivus?!
(....'amma fraid i can't be of any help, sorry..)
.... it's okay madam, we wirri knock at the next door, thank you veri veri much!
(....baap, door slams behind...)
.....mnaona sasa, niriwaambia siyo hapa, mkanibishia, Marwa hebu rifungue risimu tena tumpigie mwenyeji wetu Barozi..
.....haroo haroo,.. Mh. Barozi kumbe siyo hapo, tumekosea tena rinamba rya nyumba, mtaa gani urisema mheshimiwa?!.......
-------------->>>>>>> and it goes on like that!!