Local detectives in US hunt for Ballali

Pia nasikia kuna habari zimetangazwa leo asubuhi huko Bongo..Je kuna mwenye taarifa kuwa walikuwa wakizungumzia nini hasa?
Maana ni wazi kuwa wako aware na resolve yetu!
 
Maana tukishakusanya signatures hapa tusije kuitwa wahaini kwasababu tumewapa muda ila wao wanaendelea na politics as usuall!
 
Tukisha anza petition tusije kulaumiana wanatakiwa wajue hilo!
Muda wa kufanya something for justice wanao!
Ila ni mfupi mno!
Na ni nini tutakachokifanya kama hawaonyeshi hivyo wanakijua!
Tunaipenda nchi yetu...Tunawapenda wananchi wetu!
Tunawaomba viongozi wetu wazingatie hilo!
 
mbona hadi sasa serikali haijawaomba Marekani wawasaidie?

Huoni hii ni spin tu.
Wanatoa kila siku news mpya halafu wanajichanganya.....sisi tunabakia wengine kusifia serikali kuwa inafanya jambo na wengine wenye uwezo wa kusoma between the lines wanabakia wanapiga makelele ndani ya shimo.....siku zinaenda.

Mkulu sasa hivi yuko busy anajitayarisha na kuweka sawa mtandao wa next election.

Hakuna linamsombua hebu tutizame hawa viongozi wa huko majuu mara wanapopata kiti ghafla wanaanza kuchakaa nyuso zao, mwangalie JK tangu achukue u rais anazidi kung'ara....maanake hana limsumbualo.

Hakuna nchi raha na rahisi kutawala kama Tanzania.
 
Ubalozi nao wanasema hawajui Balali alipo!
Wanajidai hata hawajui haya masuala na hata hawana habari na uwepo wa watu kutoka serikalini wanapokuja huku USA!..kuwa eti malalamiko yetu ni nini na sasa wanataka tuandike barua!
Mimi nimeshindwa kabisa kuendelea na conversation ya namna hiyo na nimewaambia sitakuwa na lawama kwani nimenawa mikono!
 
Re: Ballali hatunaye!
Halisi tuambie hapa ulikua na maana gani mpenzi?

https://www.jamiiforums.com/showthrea...t=13493&page=6
progress.gif
 
dada yangu Tina nachukua busara za mzee wangu wa kijijini, "mambo ya ngoswe
muachie ngoswe"
 
Labda shushus hawa walitumwa kwenda kummalizia bwan Balali huko huko majuu ili asirudi kwa vile serikali yetu ilishasema kuwa haikuwa inamhitaji na wala haikumtaka arudi Tanzania tena.
 
Sasa haya mambo ya kumutukana marehemu yaishe kabisa!
Tuambiwe tu yuko wapi ili tukamupe heshima za mwisho.
 
Hapa sasa kirichobakia ni kumpa tu heshima za mwisho kwetu wananchi!
Kwaukweli nimeshitushwa sana nilipoambiwa hii habari iko huku kwenye inataneti.
Sasa sijui watatangaza saa ngapi
kweli ni masikitiko sana
 
Tumevamiwa!
Mkuu Nguruwe tunaomba uheshimu watu wengine kwasababu naona na wewe una yako kama mnyama hatari!
 
Mkandaara umenena, maana utafutaji unaozungumzwa si kama ule "rasmi" wao wanachofanya ni kuweka mazingira "ikiwa watamhitaji" iwe kazi rahisi. Hiyo ni kama wanataka kutenda haki, lakini jambo baya kuliko yote ni kwamba HAWAMTAFUTI kwa kheir wala kwa MASLAHI YA WATANZANIA... Hilo ni zito kulizungumza lakini kwa kawaida kama walitaka, MArekani hata kama haikusema, kuna utaratibu wa kawaida kwa kutumia mikataba ya kimataifa kubadilishana watuhumiwa/washitakiwa.

Mikataba hiyo inatengenezewa sheria na kwa kawaida ni lazima kuwapo kesi katika mahakama za nyumbani (Mfano Kisutu) ambayo itatoa ombi la kutaka kurudishwa kwa mtuhumiwa na ombi hilo lazima lionyeshe maelezo ya mahakamani yanayoonyesha dhahiri kuwapo kwa kesi inayoweza kusikilizwa kwa maana kuwepo kwa ushahidi wa kutosha, ili nchi aliko mtuhumiwa (Marekani) iridhike kwamba huko kuna kesi. Baadaye kesi hiyo tena ifunguliwe katika mahakama ya mahali alipo (DC/Boston) na huko sasa tena mtuhumiwa/mawakili wake ajitete kupinga kurudishwa, hadi hukumu itolewe ndipo sasa anaweza kurudishwa.

Sasa hapo ndipo tunasema HAWAWEZI kwenda RASMI, na ni kweli kama alivyosema Salva bado hawamhitaji (rasmi) bali sasa wanazunguka mbuyu kutaka kufuatilia, yuko karibu na nani na kwa maslahi gani. Je, watu wa nyumbani nani yuko karibu naye na je, amewaachia ujumbe wowote unaoweza kuwaharibia?

KUNA SIRI NZITO. PAMOJA NA KUWA WALIELEZWA KUTAMANI AFE, SASA INAWEZA KUWA KINYUME KWANI HAWAJUI MPAKA SASA ANA SIRI GANI. NADHANI WANATAMANI WAMUONE KWA SIRI KABLA HAJAFA AMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI, AMA KABLA HAJAMWAGA RADHI
They hunt a dead body, Balali is no more.
 
The puzzle is unsolved, the mystery is yet to be revealed. The time is running against majority of Tanzania. Rostam and his crew counts one punch after another. It's not over until the fat lady go to sleep, we don't have much time to connects all the dots.
 
Mpaka balali anaondoka Tanzania serikali ilikuwa inajua kila kosa lake. walitwambia kuwa amelazwa Mgonjwa mahututi, sasa muda wote leo hii ndo wanazinduka kuwa wanamtafuta?

Jamani watanzania sasa hivi tumeisha tokwa na vumbi machoni. Labda tu lisemwe lingine. Kuna kosa alilolifanya akiwa USA? au ni yale yale aliyoyasema Dr. Slaa? Kama ndiyo hayo mbona watu walisema wanaosema hivyo ni chuki?
Samahani,

Kweli tumeshachezewa mazingaombwe!

Tatizo letu tunasahau mapema sana...

Kweli JK asipo fix hizi maneno kabla hajaondoka madarakani,basi nina imani kuna siku atapanda kizimbani.
 
Back
Top Bottom