Local detectives in US hunt for Ballali

First they knew where he was!?
Then its this.....?!

Well-placed sources say at least seven detectives are combing Washington DC, the US capital, and Boston in a bid to locate the ex-BoT governor � a central figure in the EPA investigation who has surprisingly not been officially questioned by authorities thus far.

Kazi ipo! Eti in a bid to locate! Kwi kwi kwi..Was'take N'cheke!
Ila nyuma mwiko!
 
Weka link!

link ya nini tena? hii ni dhana tu kwamba hawataki msaada ambao serikali ya US tayari imeshautoa wa kumrudisha Ballali, serikali na makachero wao wanataka kuonekana kama mashujaa kwamba wamewaza kumnasa Ballali bila msaada wa US. Hii hadithi ya Ballali kuumwa je kuna yeyote aliyeweza kuithibitisha kama ina ukweli wowote? au ilikuwa ni namna nyingine ya usanii ili kucheleweshwa kuhojiwa kwa Ballali?
 
Nitakuwa nimeshangazwa sana kama ubalozi wetu hapa marekani haukuhakikisha kuwa whereabouts zake zinajulikana kutokana na seriousness ya issue yenyewe!
Walisema hawamhitaji, then wanajua alipo na hivyo wakimtaka ni any time, then in a bid to trace his whereabouts, and then what?
Halafu ni kivipi kama wanajua kuwa anajificha then sasa si keshajua wanakuja?
Yani sasa sijui nimlaumu Bubu hapa kwa usanii ama niilaumu serikali!
 
Ha ha kwa nini siko surprised...? eti combing Washington DC na Boston....kama bado wako DC waambieni wasisahau kwenda mitaa ya McLean na Fort Meade watapata msaada mkubwa.
 
Nitakuwa nimeshangazwa sana kama ubalozi wetu hapa marekani haukuhakikisha kuwa whereabouts zake zinajulikana kutokana na seriousness ya issue yenyewe!
Walisema hawamhitaji, then wanajua alipo na hivyo wakimtaka ni any time, then in a bid to trace his whereabouts, and then what?
Halafu ni kivipi kama wanajua kuwa anajificha then sasa si keshajua wanakuja?
Yani sasa sijui nimlaumu Bubu hapa kwa usanii ama niilaumu serikali!

Balozi Ombeni alishaulizwa Ballali kalazwa hospitali ipi? Akatamka kwamba amelisahau jina la hospitali hiyo. Aliulizwa swali hilo alipokuwa Z'bar kuhudhuria kikao cha mabalozi wa Tanzania nchi za nje.

Hivi kweli balozi ambaye watu hapa wamewahi kumsifia kwamba ni kichwa na mchapa kazi mzuri anaweza akasahau jina la hospitali aliyolazwa fisadi aliyehusika na upotevu wa mabilioni ya shilingi? au ulikuwa ni usanii wa aina nyingine?
 
Yaani hapa inabidi nicheke tu......kwi kwi kwi... Huyu mzee wetu Ombeni naye wanataka kumuingiza kwenye matatizo haya jamani.

Wamwacheni mzee wetu Ombeni "apumzike kwa amani" popote alipo!
 
Mpaka balali anaondoka Tanzania serikali ilikuwa inajua kila kosa lake. walitwambia kuwa amelazwa Mgonjwa mahututi, sasa muda wote leo hii ndo wanazinduka kuwa wanamtafuta?

Jamani watanzania sasa hivi tumeisha tokwa na vumbi machoni. Labda tu lisemwe lingine. Kuna kosa alilolifanya akiwa USA? au ni yale yale aliyoyasema Dr. Slaa? Kama ndiyo hayo mbona watu walisema wanaosema hivyo ni chuki?
 
Yaani hapa inabidi nicheke tu......kwi kwi kwi... Huyu mzee wetu Ombeni naye wanataka kumuingiza kwenye matatizo haya jamani.

Wamwacheni mzee wetu Ombeni "apumzike kwa amani" popote alipo!

LOL! MWK....wanaotakiwa 'kupumzika kwa amani' si wale waliostaafu tu? au hata wale 'walio bado kazini' wanatakiwa waachwe 'wapumzike kwa amani'? ...:)
 
[/b]sasa Lazima Tuelewe Uraisi Wa Taifa Hili Ni Kazi Nzito Siyo Kama Akina Jk Walivyo Amini Kwamba Ni Kuvaa Suti Na Kuchukua Serikali,hili Linakuja Kwa Kuchelewa Kuchukua Maamuzi,sasa Ina Onekana Kama Another Usanii.
 
LOL! MWK....wanaotakiwa 'kupumzika kwa amani' si wale waliostaafu tu? au hata wale 'walio bado kazini' wanatakiwa waachwe 'wapumzike kwa amani'? ...:)

Neah,

Nimecheka tu kusikia jibu la mzee Ombeni.... unajua na yeye anajua kuwa alidanganya kwa kusema kuwa hajui/amesahau hospitali aliyolazwa Balali.

Inaumiza tu kuona kwamba na yeye sasa ameingia kwenye mkumbo wa kusema uongo ili kuweka utata zaidi kwenye issue ya Balali. Hata yeye inabidi aeleze kuhusika kwake kwenye skandali ya Balali kuanzia siku ile Balali alete mwili wake hapa US.

Otherwise niko nawe kwenye hili mkulu....
 
Jamani hii nchi!!!!!!!!!!!

Yaanai hii mijitu sijui ina laana gani, huwa inakurupuka tuu na kuropoka ikidhani kuwa inatengeneza/inaficha, halafu baada ya siku chache inakuja na hadithi nyingine kabisa mpya, inasahau kabisa juzi ilisema nini.

Mbona hii laana ni mbaya sana na ni kali sana, sijui nani ataiondoa hii laana !@!@$%$#@@$^%
 
Sasa nataka wani jibu swali moja tuu, KWANINI HAWAKUTAKA MSAADA TOKA KWA WAMAREKANI KUSAIDIWA KUMKAMATA BALALI????????kuna sabb yeyote waliitoa kw akuikataa ile ofa????
 
Namsubiri GT na maswali;

i) Wanalipwa allowance kiasi gani kwa siku hao mashushushu?
ii) Wanalipwa in $ au madafu?
iii) Who is footing the bill? FBI, CIA au Mugabe?
iv) Kwanini ikulu hawajaweka website mpaka leo, lakini wanaweza kutuma mashushu nje.
v)..........
vii).....

teh teh. GT, no offense mate.
 
Usanii juu ya usanii wanaendela kufuja hela zetu kwa kujilipa ma perdiem ya dola kibao!

Balali akiwa muhsika wa skendo la EPA No. 1 iweje yeye ndo atafutwe dakika za lala salama?

Rwabuhiri hii ndiyo maana ya kuwa na viongozi wasanii,Tulimpinga sana hapa Salva ila sasa naona wataznania wamejua jinsi huyu mjuzi alivyo muovu.

Mwanakijji hivi balali alizikwa wapi tena??
 
Sasa nataka wani jibu swali moja tuu, KWANINI HAWAKUTAKA MSAADA TOKA KWA WAMAREKANI KUSAIDIWA KUMKAMATA BALALI????????kuna sabb yeyote waliitoa kw akuikataa ile ofa????

Ukiuliza maswali haya mkuu utajikuta kwenye njia panda ukiwa na hasira kwa kiwango cha juu. Just follow the dots na utajua the whole game inayochezwa hapa.
 
Hizi habari ni credible...Hivyo tunapongeza hatua hiyo!
Next thing sasa watueleze whats going on!
 
Back
Top Bottom