Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,737
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari, Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za kuchelewa kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba kuna nchi mbalimbali hapa Duniani zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.
-234503293.jpg

[URL unfurl="true" media="

===

The United States this week warned Tanzania of a likely exodus of investors in its long-anticipated, multimillion-dollar liquified natural gas project if it continues to be bogged down by delays over negotiation technicalities.

US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu told The EastAfrican in Dar es Salaam this week that companies such as Exxon Mobil that have been pushing the deal with Tanzanian authorities had reached a point where they were now “willing to walk away.”

“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,” said Ms Basu whose portfolio in the Joe Biden administration includes overseeing economic and regional affairs in Sub-Saharan Africa.

She said the status of the project was a major agenda item in meetings that she held with Tanzanian government officials during her visit this past week to follow up on progress of a US-Tanzania commercial dialogue that was launched in October last year.

Exxon Mobil, based in Houston, Texas, is one of several multinational firms that have stakes in the LNG project in southern Tanzania whose estimated cost has risen from $30 billion initially in 2014 to $42 billion by last year.

Others are Britain’s Shell and Norway’s Equinor — which have been earmarked as joint main operators of the project — Exxon Mobil, Pavilion Energy (Singapore), Medco Energi (Indonesia) and the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation as partners.

But there has been no official word on progress since March last year when Tanzania’s energy ministry said negotiations with the investors were complete, paving the way for drafting of a Host Government Agreement to be.

According to a Bloomberg news agency report this week, Shell and Equinor have said they are still hoping for the HGA, production sharing agreement and final investment decision to be signed soon so that they can start developing the project.

“We had hoped to see these agreements signed faster, but we remain ready to continue to work with the government on competitive and investable agreements, consistent with what we agreed last year,” the agency quoted a Shell spokesperson as saying.

However, it also quoted Tanzania’s Energy Minister Doto Biteko, who doubles up as Deputy Prime Minister, as saying the HGA was “still under negotiation.”

Ms Basu said she met with Tanzania’s ministers of works, transport and deputy minister of trade and industry along with officials from the Planning Commission, President’s office and the Tanzania Investment Centre.

“Regarding the LNG project I made it clear to them that it would be really unfortunate for Tanzania if these companies were forced to leave because of delays that are not in good faith and based on the right reasons,” she said.

She said there was a “very real risk” of investors becoming wary of a deal that was “still being renegotiated after so many years” and starting to wonder if they could “trust the government’s word when it comes to a multi-year negotiation. But more than that, I’m afraid of the signal it will give to other big investors who want to invest in Tanzanian foundational infrastructure if they can’t rely on the government keeping its side of the bargain,” she added.

The East African
 
Asanteni kwa bandari, fanyeni haraka muwape wamarekani hiyo Gas. Nyie hamna akili ya kujiletea maendeleo endeleeni na utamaduni wenu wa Yanga na Simba ili sisi tule vinono. Mwakani ntaweka pesa timu zenu zibebe kombe la Africa ili mfurahi wakati nyie mkisalia hohe hahe, nilikuwa wapi mimi siku zote sikujua hii nchi ya shamba la bibi.
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania Juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari,Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka Kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za Kuchelewa Kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba Kuna Nchi mbalimbali hapa Duniani Zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.
We unadhani ingekuwa asilimia 25-30% Magufuli angewakataliaje? Hapo watakuwa na upuuzi wao kutupa mgao wa 3% ikiwa wao wanabaki na 97% kama kwenye migodi ya dhahabu kule walivyokuwa wanafanyaga ndio maana mzozo hauishi.
 
Sikupingi katika hoja yako ya msingi, lakini natofautiana na wewe unaposema hatuna kitu cha maana tulichotoa katika mradi huo.
Ndio hatuna Kwa sababu ukisema has ipo Kila sehemu hapa Duniani na hicho unachodai hakiwezekani kibiashara unless uwe na kampuni Yako mwenyewe ufanye kama wao
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania Juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari,Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka Kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za Kuchelewa Kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba Kuna Nchi mbalimbali hapa Duniani Zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.
Mafisadi walioiweka serikali madarakani bado wanaangalia watafaidika vipi, CCM ni janga
 
Kama tulikwenda kuwabembeleza basi tuachie wenyewe, wewe nyamaza tufanye yetu
Ndio watawaacha kwani Tanzania Ina gas gani ya maana hapa Afrika? Tayari wameshajenga kiwanda kama hicho Mozambique tofauti ni gharama tuu na wanategemea kujenga zaidi ya 3.

Pili watawashitaki Kwa kuwapotezea mda huku wakiingiza gharama za engagements so mtalipa kama mnavyofanya kwenye kesi zingine ikiwemo mabehewa ya Sgr,Kwa sababu mna akili za funza mnaona hapo tuu.

Mwisho Dunia inaenda Kasi Kwa teknolojia,Kwa Sasa Mafuta hayana Dili sana kama Zamani na hivyo hivyo kwenye gas na new discoveries zinavyokngezeka ndivyo value inashuka so ukisema inasubiria sijui nini utakuja kupata less than what you would get right now.
 
Back
Top Bottom