klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Najua ndo unachotaka!!! Ushindwe katika jina la JF Jamii Photos!!!
hehehe Asha D bana! sasa nikishindwa mod atakuwa nani?
Najua ndo unachotaka!!! Ushindwe katika jina la JF Jamii Photos!!!
shosti kama unajua kuna kipindi,sikua hapa kijijin kwa muda mrefu,na nilivyorud sikupata muda kupitia mafaili yote,umeona eeeh,sasa kama kuna kizuri kilichotokea naomba unijulishe ili nisikiharibu bila kukusudia,sitak kuwa sbb ya roho ya mtu yeyote kutengana na mwili,kama vipi nipe majina sahihi nibadilishe heading haraka kabla mambo hayajaharibika,iliandikwa ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,sitaki kuua kwa thread mana nami nitauliwa kwa thread.
Kumbe mambo ilikuwa komplex hivi. Hapo Mungu ndiye pekee atakaeweza kuwatenganisha.
Hakuna chochote bana! mwaga mafoto. Asha D kauziwa album feki, tunaomiliki CD original tumeuchuna tu.shosti kama unajua kuna kipindi,sikua hapa kijijin kwa muda mrefu,na nilivyorud sikupata muda kupitia mafaili yote,umeona eeeh,sasa kama kuna kizuri kilichotokea naomba unijulishe ili nisikiharibu bila kukusudia,sitak kuwa sbb ya roho ya mtu yeyote kutengana na mwili,kama vipi nipe majina sahihi nibadilishe heading haraka kabla mambo hayajaharibika,iliandikwa ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,sitaki kuua kwa thread mana nami nitauliwa kwa thread.
Lizzy Partner, Rafiki, Mwalimu
Kwa nini unitende hivi... yaani siri zoote zile twapeana
usinipe hili la muhimu kuliko yoooote...:doh:
Nimechanganikiwa sikuelewi kabisaaaa...
Kule ulikosema leo utachelewa ukute nako umenidanganya
jamani Partner why??? Mimi am :A S-cry:
:gossip:Lizzy partner wangu alikua na :argue:ya kindoa kati yake na mumewe,,, mumewe alikua :frusty: kua uhusiano wa Lizzy na Uporoto sio wa kawaida kuna :A S-heart-2:... umeona issue yenyewe??? Mimi nilijaribu ku :grouphug: but yakanishinda :fencing:ulikua mkubwa nika :car: na kumleta dada wa busara Michelle... baada ya :flame:kubwa saana hatimae mamaa akafanikisha kukawa na 😛eace:kati yao. Mambo yoote yaliisha kwa ku :hug: na ku :busu kati ya Lizzy na Shem.
Cheusimangala umepata huo :gossip:???
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:View attachment 30859:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Mpenzi wewe hujakosea kabisa, tena uzuri si muhusika - ungekua mkusika Uporoto na Lizzy wangekugeuzia kibao; kwenye uongo ukweli hujitenga. Mini nimefurahi ukweli umejulikana bora tu CPU atafute utaratibu mwingine....lol
The Following User Says Thank You to cheusimangala For This Useful Post:
Asha D (Today)
hehehe Asha D bana! sasa nikishindwa mod atakuwa nani?
Hakuna chochote bana! mwaga mafoto. Asha D kauziwa album feki, tunaomiliki CD original tumeuchuna tu.
shosti unavyolia ndo mim jasho la kwapa linavyozidi kunitoka,mdomo umenikauka sijui lakufanya,why me jamani,but am:mimba:,so nobody should touch me even if am wrong
mmmhhhh mambo ya kurudishana nyuma.....Lizzy,please let the world know where you stand....![]()
this can not happen,moyo wa CPU siwezi kukubali kuona ukiishia ICU,le me see what i can do to solve this,
najuta,ila siku zote tokea nimerudi tunaongea lkn hata kunigusia hili,mim nakutupia wewe lawama,let me change heading right now.Kwa hiyo uporoto ni kama nani kwa lizbeth.
Bora! manaake hata mimi Lizzy kaondoka na mtaji wangu! halaf baada ya kuondoka na mafao sasa kagoma hata kujibu PM zangu. Hii haki jamani? mtu mzima nashikishwa pembe?mmmhhhh mambo ya kurudishana nyuma.....Lizzy,please let the world know where you stand....:A S-rose:
ukome na wewe,umezidi,natamani ufilisike labda utatulia.....muone kwanza,mshika pembe mkubwa,na si kwa Lizzy tu,kuna sehemu tena umehsikishwa pembe....:dance::dance::dance::dance:Bora! manaake hata mimi Lizzy kaondoka na mtaji wangu! halaf baada ya kuondoka na mafao sasa kagoma hata kujibu PM zangu. Hii haki jamani? mtu mzima nashikishwa pembe?
ukome na wewe,umezidi,natamani ufilisike labda utatulia.....muone kwanza,mshika pembe mkubwa,na si kwa Lizzy tu,kuna sehemu tena umehsikishwa pembe....:dance::dance::dance::dance:
this can not happen,moyo wa CPU siwezi kukubali kuona ukiishia ICU,le me see what i can do to solve this, najuta,ila siku zote tokea nimerudi tunaongea lkn hata kunigusia hili,mim nakutupia wewe lawama,let me change heading right now.Kwa hiyo uporoto ni kama nani kwa lizbeth.
Hapo kwenye red panatisha.
EMT hii kitu inawekwa pending issue ni ngumu woote wamekimbia....
Una kesi ya kujibu Lizzy akirudi.