Academic supremacy: Migiro vs Mnyika

Academic supremacy: Migiro vs Mnyika

Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu

USSR
 
Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu

USSR
ila Bashite!!

Hapo tukizungumzia zero wewe sio ndio baba lao? Baba wa MAZIRO!

Kumbuka ile risala ya mama yetu akikiri kwenye vyombo vya habari kuhusu matokeo yake!

Nimebaki mdomo wazi.

Cc: Mbaga Jr binti kiziwi
 
kuna wakati vyuo vingewapokonya vyeti baadhi ya wahitimu kama
1. mwakyembe
2. hapa na pale
3. huyo migiro
4. mwigulu
5. ccm wote
Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
 
Hakuna haja ya kuibua vimisamiati vya kiingereza ili kumpamba mnyika, huyo dogo ni kilaza na alidisco chuo...
Usimlinganishe dr migiro na uchafu uchafu wa tecdema...

Na kule chadema kuna matatizo makubwa sana ambayo hayana mwisho.
 
Aliacha Chuo ili agombee ubunge shule gani ya Mnyika kudisco..
 
Hakuna haja ya kuibua vimisamiati vya kiingereza ili kumpamba mnyika, huyo dogo ni kilaza na alidisco chuo...
Usimlinganishe dr migiro na uchafu uchafu wa tecdema...

Na kule chadema kuna matatizo makubwa sana ambayo hayana mwisho.
Mkuu futa Hilo neno la Mnyika kuwa alidisco chuo utapata aibu sana humu Bora hayo maneno uyapeleke Facebook kwa watoto ambao hawajui kitu, hivi unamjua Mnyika wewe? Unakijua hata chuo hicho unachosema alidisco?
 
Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
To be fair, fanya apple-to-apple comparison. Idiots wa CCM walinganishe wao kwa wao. Usibabaike na first class (paper qualification) ya Migiro. Angekuwa smart asingekubali kuwa dragged into the CCM mess. The fazafaka has squandered her entire political capital in less than one year!
 
Back
Top Bottom