lizzy na uporoto1

usidanganyike na signaturi shosti yangu,nimekwambia nisaidie maombi,au kama hutak nambie mana martha mwaipaja aliimba kuwa wkt wa shida hata mashoga zako watajitenga nawe...lolmaombi bado yanahitajika

Hio post juu ya hii ninayo kujibu kaeleza kuwa wewe ni sweetie wake usione kanukuu vibaya... hua nafanya nae kazi huyu jamaa.. mambo mengi humaanisha... legeza basi moyo kidogo....
 
Nafahamu unampenda sasa bwana Yesu naheshimu uamuzi wako, lakini jaribu kunikumbuka na mimi ubavu wako kidogo sweety.
ni kweli nampenda Yesu,sbb hata ukiondoka yeye anabak kunipa company,
Yesu wa kwanza wewe wa pili kwa kukupenda,,,
mm nakukumbuka hata nikiwa nimelala,,na mim nimeshakubal sema tu wajomba zangu wamenambia nisichukue uamuz wowote hadi wafanye kikao eti,,,
 
Nionyeshe upendo wako kidogo hata kwa kuniweka kwenye signature yako chini ya YESU basi black beauty honey.
 
Hio post juu ya hii ninayo kujibu kaeleza kuwa wewe ni sweetie wake usione kanukuu vibaya... hua nafanya nae kazi huyu jamaa.. mambo mengi humaanisha... legeza basi moyo kidogo....

hahahahaahhaaaaaaaa shosti kuna company inatafuta comedians,
hata mim namaanisha nikisema nisaidie maombi lkn unanipoitezea,sikuelewi
,ntasali mwenyewe lkn sio vizuri hivyo,
hiv nilkwambia im:mimba: but sitak uporoto ajue sbb kuna mtu nshambambikia kakubal ni wake,na matunzo keshaanza kutoa,
nasema :pray2: sbb im:confused3:
 
attachment.php
Dogo wa kushoto kavaa kiatu namba kumi
 
picha nzuri sana. Inaonyesha imepigwa maeneo ya kusini mwa Tanzania sehemu yenye baridi kali. Pia watoto wamevalishwa viatu oversize ili waweze kuendelea kuvivaa hivyo viatu hata kama wataongezeka maumbile ya miguu.
 
hadi uo mjinsi uvuliwe na kina babuseya, watu watakuwa wameshafika..ulinzi tosha kwa huyo dogo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom