Hahaaaa...ya kweli hayo EfraizMteman???aliyekutwa na noti bandia sh 10000 kala miaka 5, Huyu kaliingizia taifa hasara ya bil 221 miaka 2! Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....!!!
Angalia kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, 2007, Na. 11/2007:
"31. Any person who intentionally abuses his position in the
performance or failure to perform an act, in violation of law, in the
discharge of his functions or use of position for the purpose of
obtaining an undue advantage for himself or for another person or
entity, commits an offence and shall be liable on conviction to a fine
not exceeding five million shillings or to imprisonment for a term not
exceeding three years or to both."
kwa nini asipewe options ya kulipa fine tu? or both? na hakimu amemchagulia 2 yrs? au ndiyo wanampeleka shelisheli kula raha kisha wamrudishe baada ya miaka miwili!
Ataachiliwa kwa parol sikukuu ya uhuru. Desember 9.
ndogo sana jamani
Na anashinda kwa kutumia pesa hizo hizoAkitoka tu Utasikia Kachukua fomu za UBUNGE kupitia CCM!
kwa nini asipewe options ya kulipa fine tu? or both? na hakimu amemchagulia 2 yrs? au ndiyo wanampeleka shelisheli kula raha kisha wamrudishe baada ya miaka miwili!
inatosha hadi wakati huo wabababe wa jela watakuwa wameambulia maana K ya mkurugezi bilionea lazima igombewe wababe wa jela kazi kwenu mungu awape nini
Duh ana bahati kweli....kesi ilivyoanza ungeweza kudhani atafungwa kuanzia miaka kumi na kuendelea!
Zote ni option na hakimu kachagua hiyo moja. Au unadhani naye katumia vibaya ofisi. By the way issue nzima ni politics si unajua tena mwaka wa uchaguzi tudangenywe tumemfunga Liyumba, kesi nyingine ziko mahakamani na ujinga kama huo. In reality ni ujinga, ujinga, ujinga.....Hii nchi jamani. Pale inapotumika mahakama kujustify ujinga wa kisiasa inaudhi kabisa.
Kama ni kweli CCJ wanahitaji kuondoa kinga ya viongozi washitakiwe na iwe hivyo waipiganie ili wote tuwe chini ya sheria. Hili naliunga mkono na wote wajibu waliyoyafanya katika maofisi yao