Tonge
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 695
- 12
Hilo ni changa la macho liveeeeeeeee, miaka miwili? Jamani tusiwe wajinga huyu bwana ana hela chafu, na huko jela atakuwa anaishi kama mfalme tu, kwa wale wanaojua jela ukiwa na hela unakuwa kama uko likizo bila malipo, unaweza ukala chochote cha uraiani hata bagger au pizza, wale jamaa sio malaika nao wana maisha tight ukaiwaachia posho kama kawa gambe na mlupo unaletewa, halafu miaka miwili usiku na mchana jela ni mwaka. Halafu kama kakutwa na kosa hela za walipa kodi tutazipataje? akienda jela bila kumfilisi sio kitu, atavumilia huko kisha akitoka anakula bata kama kawa. Huu ni usanii mtupu bwana na Liumba anaweza hata asikate rufani maana anajua yuko likizo bila malipo na akitoka kesho kutwa vimwana kama kawa.