Liyumba Kuachiwa Huru Leo?

Liyumba alikuwa Kondoo wa Sadaka. Si kwamba hakuwa na Mazambi lahasha! Bali waliomtoa chambo....Wahusika wakina Ballali waliyeyushwa ili kiini macho kitumike. Sasa Atolewe asitolewe yote sawa tu. Maana tumedanganywa vyakutosha! Mimi nasubiri October 2010

Bado utasikia kabla ya uchaguzi
1.Lyumba achiwa
2. Watuhumiwa wote wa EPA waachiwa baada ya kukosa ushahidi


SI TULIONA YA ZOMBE WAJAMENI?
 
Habari kutoka Kisutu zinasema kuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake na kahukumiwa kifungo cha miaka miwli gerezani
 
Oh! masikini Liyumba, keshakula mvua 2!.
Pamoja na kukosa uhuru, huduma muhimu kama 'conjugal visit' pia zinapatikana kwenye magereza yetu siku hizi.
 
Kama nikiambiwa niibe au nipewe asilimia 1% ya hasara iliyopata serikali, halafu nifungwe jela miaka 2.....can volunteer!
 
Back
Top Bottom