verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,180
- 6,333
Nimekumis sanaUmenimiss eeh!?
Haya niambie dogoNimekumis sana
Msiitelekeze hii timu yenu ya wazeeHaya niambie dogo
Nottingham forest imepanda daraja?? Duuuuh!!Hii timu bora iuzwe tu,inatia hasira.Yani timu imepanga daraja inakusumbua
Ni kalekale kakikombe kamoja mlikoteseka miaka zaidi ya 20Msiitelekeze hii timu yenu ya wazee
Mtu ambaye anaumia unamjuaNi kalekale kakikombe kamoja mlikoteseka miaka zaidi ya 20
Umri wa kijana wangu, toka anazaliwa hadi anafika Chuo, arsenal hamjapata kombe.
Mmekapata Kwa mateso sana ,ndio mnaongea hivi?
Ndio kama nyie hiviMtu ambaye anaumia unamjua
Mpaka nyumbani unapata wakati mgumuNdio kama nyie hivi
Liver chama kubwa inawaumiza ßna❤️, hiyo ni draw tu
Hata huyu Barcola mngemtaka mbona asubuhi tu mngemaliza dili.Ila nyie ndio mna uhitaji mkubwa sana kuliko sisi ila Chelsea ina roho mbaya sana inapenda kuwaonea dili Caicedo ilikuwa hivi hivi same to Lavia
The man in form.Tuchukue hii hela aisee
Kwa kumbukumbu zangu huyu kocha Glasner tangu yupo Crystal Palace katuhenyesha sana kuanzia kwa Klopp, Slot na sasa Andoni.Hii timu bora iuzwe tu,inatia hasira.Yani timu imepanga daraja inakusumbua
Arsenal tuwauzie Skelly mumuachie dimbaKwa kumbukumbu zangu huyu kocha Glasner tangu yupo Crystal Palace katuhenyesha sana kuanzia kwa Klopp, Slot na sasa Andoni.
Pia mismimu miwili mfululizo Hawa N Forest pale Anfield wanatoka na pointi 3 hivyo sio mechi rahisi sanaa na ukizingatia pale kati(DM) bado hapana jawabu la kudumu.
YNWA
Tunahitaji mkata umeme. Fabiinho type.Arsenal tuwauzie Skelly mumuachie dimba