Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Yaani kweli Nimeamini Humu usiamini propaganda za Captain Marvelous#LFC 🔴 🚨
Edwards is understood to have grown frustrated with the lack of progress on FSG’s wider football project, particularly plans surrounding a multi-club model. Despite remaining heavily involved in Liverpool’s recruitment strategy this summer, he believes the long-term vision has stalled.
Mike Gordon will take up the role until Liverpool find a replacement.
Hata sura yake tu imekaa kitapeli
Captain Marvelous njoo hapa Ms Liverpool anataka kukuaminisha kwamba Edwards na Shoga yake Hughes ni matapeli 🤣Bobby alikuja akakapiga nakshi na kiingereza chake kile
Kiingereza kiingi
Kumpiga msasa tapeli
Wamepiga sana ela Yawezekana hata wakina Isak, Ekitike na Wirtz hawakusajiliwa kwa mahela yote yaleHata sura yake tu imekaa kitapeli
Miss Liverpool 🤠🤠🤠🤠 ni sahihi kabisa Edwards kuodoka Liverpool na hii taarifa ya yeye kusepa aliwaambia FSG June 2025 baada ya kuona kilichomvutia kurudi FSG hakipo kama utakumbuka FSG walikua na mpango wa kuanzisha muliti ownership football club empire na wametazama sana timu nyingi japo hawakununua mfano ni Getafe, Bordeaux, Malaga, Crueziro nk Sasa Miss Liverpool huyu Mwamba alirejea kwa kua alishawishika na huu mpango mbao FSG wamechemka sasa hapo utamlaumu kweli kusepa huku akiwa ametoa notice ya mwaka mzima... Seriously this guy is a genius aisee.Yaani kweli Nimeamini Humu usiamini propaganda za Captain Marvelous
Anaweza kumpamba tapeli anaonekana malaika
I guess bobby ni expert wa mambo mambo ya marketing
He is a fluke😄😄😄😄time bomb muda wowote anatoa penati.Weee Saint Anne , beki wako Kipenzi Konaté Ibrahima alikuwa anataka mshahara wa 300,000 vipi kombe la Dunia kacheza hata game moja ?🤣
Yaani hata extra time hapati nafasi
Tapeli mwingine huyu
Edwards aliajiriwa Liverpool 2011 mara ya kwanza na amekua baraka kwetu. Akiwepo tumeshinda EPL 2 na UCL 1 kwa bajeti kiduchu. Amekua kiungo muhimu pia kukuza brand ya Liverpool kufikia ma dollar ya kutosha hivyo binafsi simdai hata asepe na all the best kwake in his next endeavor....Captain Marvelous njoo hapa Ms Liverpool anataka kukuaminisha kwamba Edwards na Shoga yake Hughes ni matapeli 🤣
Na Hughes alimuokota Slot kuja kuvuruga timu 😅😅😅
Matapeli wameitapeli timu na kuiacha inapumulia machine🚨🔎 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘 - @JamesPearceLFC:
Transfer planning has been completed for the current window and now it’s just the case of Richard Hughes executing those plans.
Saint Anne naona usajili tumefunga 🤣 Pengo la Robertson na TAA tutaenda nalo vipi ?
Bora tu ameondokaMiss Liverpool 🤠🤠🤠🤠 ni sahihi kabisa Edwards kuodoka Liverpool na hii taarifa ya yeye kusepa aliwaambia FSG June 2025 baada ya kuona kilichomvutia kurudi FSG hakipo kama utakumbuka FSG walikua na mpango wa kuanzisha muliti ownership football club empire na wametazama sana timu nyingi japo hawakununua mfano ni Getafe, Bordeaux, Malaga, Crueziro nk Sasa Miss Liverpool huyu Mwamba alirejea kwa kua alishawishika na huu mpango mbao FSG wamechemka sasa hapo utamlaumu kweli kusepa huku akiwa ametoa notice ya mwaka mzima... Seriously this guy is a genius aisee.
Usisahau pia Edwards alimrejesha klabuni Julian Ward nafasi ya Technical Director wa Liverpool yupo na ni mtalaam wa haya mambo na Gordon ndio anakaimu majukumu ya Edwards mpaka wapate kuajiri tena.
Miss Liverpool huyu cheo chake ni Mkurugenzi Mtendaji wa FSG akiwa na majukumu zaidi ya Liverpool pale FSG hivyo tuwe wapole tupo kwenye mikono salama kabisa.
YNWA
Aende tuWeee Saint Anne , beki wako Kipenzi Konaté Ibrahima alikuwa anataka mshahara wa 300,000 vipi kombe la Dunia kacheza hata game moja ?🤣
Yaani hata extra time hapati nafasi
Tapeli mwingine huyu
Huyu mbona amesaini Madrid tayari halafu World Cup hata extra time hajapata nafasiAende tu
Ni mchezaji mzuri ila Sasa ana mifupa milaini kama yangu
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Edwards is genius.Bobby alikuja akakapiga nakshi na kiingereza chake kile
Kiingereza kiingi
Kumpiga msasa tapeli
Njoo tuangalie BSS🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Edwards is genius.
One in a million.
FSG bought Liverpool around 300m, akawaambia FSG chaguo sahihi kwetu ni Klopp na kwa kweli Klopp akaaajiliwa kwa kipindi chote klabu ikakua brand value mpaka kufikia usd 6 billions ikiwa klabu ya 4 kwa ukubwa Duniani football clubs....sasa kweli Miss Liverpool unaweza kum doubt uwezo wa huyu Mwamba na kwa Nini FSG wanatulia nae muda wote hata kupewaaa heshima achugue yeye lini ataodoka klabuni. Asingekua specio asingepata hio privilege.
Let's appreciate Edwards, apewe maua yake amekua perfect match kwa FSG.
YNWA
Hughes ataodoka June 2027. Hii ndio Liverpool inaedeshwa na mifumo sio jina la mtu Fulani hapana hivyo Miss Liverpool ukae kwa kutulia.Bora tu ameondoka
Tuanze upya