Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilitaka kuandika muda mrefu kuwa
Tukamuuza Diaz ili abaki Gakpo. Wajinga mpk wazungu wapo.
Diaz sale was our very own down grading.... By the way Bayern walimu point kwanza Gapko wakapewa taarifa hauzwi hapo wakauliza je na Diaz duh huyo ikawa a big YES....
Sasa sijui Edwards atakuja na mbinu ipi kusajili wachezaji wawili dirisha lijalo , replacement ya Salah na Diaz.

YNWA
 
Its a continuous cycle mate...we had Gini, Fabby, Mane, Diaz nk wote hao walitaka mshahara unaoedana na mishe zao uwanjani lakini walionyeshwa mlango wa kutokea.
Slot plus FSG ni time bomb πŸ’£ πŸ™†πŸΎπŸ™†πŸΎ

Ni hatari ndugu ,hasa kwa ustawi wa timu...kocha atalaumiwa bure tu kumbe ni management
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…