Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,579
- 235,432
Mona huyoWale wa Msimu uliopita waliokuwa wanatuletea Makala za uchambuzi za mbinu za Slot kwa hiyo walikuwa wakitudangnya?
Mbona sasa hivi hawatuandikii tena hizo Makala za ufundi wa Slot?
Manyaza huyoHii ni
Hii inaonesha wazi hawakuwa wachambuzi bali walikuwa wapiga Ramli tu kudanganya watu kupitia terminologies za mpira.
Kwa usajili ule, Liverpool wapewe makombe yote makubwa.Mungu wangu leo sijui hata nicomment kitu gani kuhusu Janjajanja anadunda ardhi ya Mola The Mongolian Savage Slot
Aaaaaaaaaqhhhh🙌🙌
Pole mwanadadaMungu wangu leo sijui hata nicomment kitu gani kuhusu Janjajanja anadunda ardhi ya Mola The Mongolian Savage Slot
Aaaaaaaaaqhhhh🙌🙌
Umefuraaahi 😃Pole mwanadada