Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani Anfield sasahivi imekuwa kichwa cha Mwendawazimu kila Mtu ananyoa ๐Ÿšฎ
Kweli Slot katushusa heshima ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kuna umuhimu mkubwa sana wa Kichwa kontena kupelekwa ICC ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Nilikuwa nimeshaanza kufanya kitambi lakini kichwa mviringo amenifanya nipoteze kitambi cha kufutia Simu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Umoja wamashabiki wa kandanda pale wingereza tunapinga vikali swala la kutaka Sir Arne slot master uwaraza afukuzwe kazi sio jambo la haki.

tunaitaka menejiment ya liverkuku imvumilie mpaka mwisho wa mkataba tunaitaka iheshimu mkataba.
 
Wacha mpakatwe tuu takataka ninyii ...sajili la paundi 500M na vipigo kila kona yani ni kupigwa tuuu, pigaaa mbwa mwizii kuku kishingooo ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
hii ni liver ya brendan rodgers, roy hodgson au daglish 2

tunatia aibu mnooo
 
Unasajili attacking force huku nyuma kukiwa kumeoza. Watani Hadi sasa hatuchekani Nafikiri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ