Our defending patterns were poor.
Rest defense was poor, tukipokonywa tu wakati wa attacking moment unaona duka jeupe.
It's not only about vvd,konate ila system structure haikuwa nzuri plus lacking natural or quality DMF imeleta hayo magoli mawili.
Wakati mnapanga mashambulizi yenu mnapaswa pia kupanga kujilinda kwenu kwani mipango yenu inaweza kukinza na mnao washambulia.
Rest defense system inawasaidia kufanya probability calculation za opponent counter attack.
Ukiangalia how we lost possession on both goals, how we were defending aisee unaona kama hakuna seriousness. Too soft.
Japo makosa hayo no coachable kabisa hopefully Slot ameliona hilo as per his post match interview tutarajie changes.
View attachment 3446257
Hapo nyuma ya kina semenyo na Szobo alistahili awepo no. 6 , na nyuma yake kwa chini na kwa juu wawepo CB's. Hiyo ndio rest defense nayoongelea. Kwa muundo huo wa kwenye pic unaachwa vipi kufungwa?
View attachment 3446260View attachment 3446260
Hapo Robbo alipaswa kuwa hiyo counter as per Slot na ukiangalia yes kwa sababu alikuwa karibu na movement hiyo.
Anyway ngoja tuone WWIII vs Magpies na saga ya Isak they gonna kill us.
Ynwa.