Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,276
Grav, I’m not sure he’s going to be the cure for our defence. We really need an anchor DM, lakini kwa sasa ndiye bora tuliyo naeUmewaona mbilikimo wako?, Na vile Jana Gravernberch hakuwepo ndiyo kabisa timu ilipoteana
Haya magori tuliyopata ukiyaangalia vizuri utagundua ni ya bahati bahati tu....
Frimpong alijaribu kuleta ubabe kala yellow.
kichaa kwenye one and two, ngoja na yeye tumpasue 5 mwaka huu
Defence itakaa vizuri tu! Slot ndiye alichemka kale ka Japan tangu lini kakacheza back line?ile prowess tuliyonayo kwenye attack ni balaa.. Ila sasa hiyo defense duh!! I do wan peace i wan't problems always
Huyu naye atulie! Alitaka tumnunue yeye?
Siku hizi Mo anafunga hata kwa.mguu wa kulia? Watesi wangu kazi wanayo!
Grav, I’m not sure he’s going to be the cure for our defence. We really need an anchor DM, lakini kwa sasa ndiye bora tuliyo nae
Btw si sawa kuyaita magoli ya bahati😂
Mkuu habari??? hua unaangalia kwa app Gani hizi game za EPL??naomba link nijiunge Numbisa please chiefGOAL! Gakpo doubles the lead from Ekitike's assist! Liverpool 2-0 Bournemouth
View attachment 3442945
Jaribu ku-gugu (in Makalla's voice) hizi utapata nzuri, mimi huwa natumia hizo mbili.Naomba mwenye kujua app za kuangalia mpira wa ligi kuu england anisaidie
Asante Manjagata 🙏🙏Jaribu ku-gugu (in Makalla's voice) hizi utapata nzuri, mimi huwa natumia hizo mbili. View attachment 3443115
Yap nakubaliana na wewe Grav kwa viungo tulio nao, yeye ni bora kuliko wao kwenye eneo la kati, Lakini hana sifa kamili za DMView attachment 3443088
Ona viwango vya uwajibikaji hapo, ukimtoa sobo na KONATE (slow men).
Grab anasaidia sana kukata mashambulizi kuanzia katikati.
“I hope it's resolved quickly, because it's news around us all the time.”
“Nothing’s changed, the door is well and truly open. But he has to decide what he wants to do.”
“The word [‘irretrievable’] isn’t really in my dictionary”—he believes communication may help resolve things and still hopes for a reintegration.
View attachment 3442853
Anasema bado ana kiu kupambana hapa hapa Liverpool kushinda makombe mengi mengi sanaaa.
Slot aliwai sema dogo hua hanuni hata asipocheza muda wote ana tabasamu hata akipewa dakika chache hua anaingia kwa kuwaza namna Gani asaidie timu hakika Slot alisema kweli.
🔥🔥🔥🔥Chiesa kudos.
YNWA
Ngoja tuone kama tunae ama atasepa.wanamuonea sana