HapanaView attachment 3442564
Mnasema aje Ile keshi ya Isak itumike kuimarisha ukuta na DM na tumbakishe Chiesa 🥂🥂🥂🔥🔥😜
YNWA
Leoni bado. Atumike ikibidiYule dogo muitaliano aanze badala ya Konate. Gravy arudi namba yake na Isak asajiliwe. Or else Epl is back with a bhang
Legend bhana chagua moja kwangu abakie Chiesa klabu iingie sokoni kununua DM na beki kisiki.Hapana
Ya isak ije kwa isak na ya defenders ije
Wacha hizo! Hiyo ndiyo football!***** uyo kocha mngese