Mlisheni vyuku ajenge mwili la sivyo ata struggle sana Kwa huto tumisuli
Yaani huyu angefaa anazie kwa El Cholo pale wana gwiji wa haya mambo baada ya msimu mmoja tu angekua jiwe.Mlisheni vyuku ajenge mwili la sivyo ata struggle sana Kwa huto tumisuli
Na bado Chiesa na elliot wako njianiLiverpool buys 👇🏿 👇🏿
Frimpong £30m
Wirtz £100m
Kerkez £40m
Ekitike £69m
TOTAL: £239m
Liverpool sell 👇🏿 👇🏿
Quansah £30m
Kelleher £18m
Trent £8.6m
Diaz £65m
Morton £15m
Nunez £56m
TOTAL: £192.6m
Net spend: £46.4m
So basically we've not spent that much🤓🤓🤓 genius Edwards is next level.
YNWA
Na konateNa bado Chiesa na elliot wako njiani
😂😂Unaona jinsi Chelsea inavyouza wachezaji wake? Nyie munaeza kufanya biashara kama hiyo??
Edwards haya mambo ya namba ni habari nyingine kabisa.Na bado Chiesa na elliot wako njiani
Hiyo offer ya Robertson sawaLeverkusen want Robertson for €20M.
Leipzig want Harvey Elliott for €30M.
Salzburg want Bajčetić for €15M.
ROBBO we still need him there is no any reason to sale out this LegendaryLeverkusen want Robertson for €20M.
Leipzig want Harvey Elliott for €30M.
Salzburg want Bajčetić for €15M.
You nail it Fam...........Wakati Nunez ameondoka sasa ni lazima Isak aletwe iwe jua iwe mvua kwa heri au kwa shari
Club yetu tunaijua wenyewe aulizwe super talent Philippe CoutinhoTazama maisha yalivyo kasi.
TRENT jina lake limefutika haraka sana LFC.
Ukosefu wa Mkurugenzi wa michezo ni tatizo kubwaView attachment 3433723
Hivi inakuwaje hawa Newcastle kila mchezaji wanashindwa kusajili?
Tsimi kuna timu ishamuhitaji? maana sio vizuri kuwa na 3 LbROBBO we still need him there is no any reason to sale out this Legendary