Captain Marvelous bhanaaa nimesoma sehemu nyingi sana kumhusu GuΓ©hi inaonekana hafai kwenye mfumo wa Slot πππ
Marc GuΓ©hi ni disciplined defender, lakini hana kasi ya kutosha ya ku-recover kwenye high line, na kwenye mechi kadhaa ameonekana kubanwa akiwa kwenye presha (pressed in build-up), hasa dhidi ya high-intensity teams.
Katika mfumo wa Slot, beki wa kushoto (LCB) anatarajiwa kuwa na uwezo wa ku-cover space kubwa nyuma ya attacking left-back kama Kerkez. Kwa hiyo, ukosefu wa top-end speed na elite ball distribution ya GuΓ©hi huleta mashaka kwenye compatibility yake na falsafa ya Liverpool ya sasa.
Liverpool wanahitaji plug and play defenders kwenye mold ya mfumo wa Slot."
GuΓ©hi anaweza akakomaa kwenye build-up na akaboresha passing range yake, lakini top-end recovery pace ni attribute ya kiasili ambayo ni ngumu βkufundishwaβ na hilo ndilo linamfanya asiwe priority kwa system yenye high defensive line kama ya Slot.