Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimekuelewa sana mwaisa, unajua kiukweli timu ya Klopp ungempa Kocha mwingine ni kisanga

Kuna hawa TAA, Hendo, Wijnadulm na Bobby kwa makocha wengine ngumu kuwatumia kama alivyokuwa anawatumia Klopp

Kwa kumalizia committee mode ndio iliwaleta akina Mac Allister na Szobo ama ni Klopp?
 
Mac Allister alisajiliwa kupitia data-led recruitment iliyoongozwa na new sporting director JΓΆrg Schmadtke na chief scout Barry Hunter, wakishirikiana na data analysts wa Liverpool. Klopp alikubali kwa sababu ya tactical flexibility, lakini kulingana na taarifa nyingi (The Athletic, The Times), haikuwa β€œKlopp personal target” bali ni committee recommendation kwa sababu ya clause ya Β£35m, value for money, versatility na Premier League readiness.

Szoboszlai ilikuwa committee-driven opportunity. Liverpool waligundua release clause ya €70m iko karibu ku-expire (July 1st 2023) na wakapiga haraka. Klopp hakuwahi kumsimamia moja kwa moja, lakini scouting reports (kwa miaka mingi wakati yuko Salzburg na Leipzig) zilimshawishi Klopp akubali kusainiwa. (Source: The Guardian, 2023).

⚠️ Ikumbukwe: Klopp alipata final veto power kama kawaida, lakini hizi signing mbili hazikutokana na Klopp β€œkuomba” wachezaji fulani kama ilivyokuwa kwa Naby Keita au Darwin NΓΊΓ±ez. Ilikuwa ni market-driven, squad needs na data scouting ambazo committee iliongoza.
 
Ooooh nimeelewa
 
Hivi unajua kwamba mchezaji anayeongoza kwa kula mshahara mkubwa pale epl anatoka Liverpool anaitwa Mo Salah analipwa Β£400,000 kwa wiki

Masahihisho: Haaland anamzidi Salah
Mkuu Halaand analipwa Β£525,000k kwa wiki pale Ethad na inaweza kupanda mpaka Β£825,000k kwa wiki endapo atafikia mafanikio Fulani hii inakua kama bonus.

Salah ni wa pili kwa kulipwa 400k kwa wiki huku akifuatwa na VVD kulipwa kwa Β£350 kwa wiki.


YNWA
 
Kitoto cha alfu mbili kikikuamulia umeisha hauchomoki, Aliyenificha kitoto cha alfu mbili, na wa alfu mbili anayenijua ni wewe tu huku duniani. Je nani amenificha??

Ynwa"

Mkuu kumbe unapenda Mishangazi?

Hivyo vya 2000 sio vitoto tena sasa hivi wana miaka 25 tayari ni Mishangazi hiyo yameshatoa mimba kama 8 hivi huko sisi tumeshahama.
Tumehamia kwa vitoto vya 2010 sasa vinakunjika kama kamongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…