View attachment 3411512
Kwa bei ya £50m plus huyu ni wa kuuzwa tu ndugu zangu maana umri wake na bei hii ki ukweli siamini lakini ndio hali ilivyo Hawa Bayern wapo motoo kumhitaji... Liverpool wachukue pesa hapa hakuna kingine.
Jambo zuri kwake ni ability kucheza LW and CF, kufunga impossible angles, kujaribu kufunga kwenye final third (in or out). He is much technical miguu mizuri ya kuuchezea mpira imo, height nzuri, age nzuri. We expect him to do more akiwa nyuma ya mafundi Gravern, Szobo, Macca, Salah, na star boy Wirtz, you have Frimpong and Milós... Elliot, Diaz, Gakpo, Vvd Captain chaos (Darwin Nunez Nunez Nunez), Mr. Confidence Curtis Jones.View attachment 3411513
🗣️ Frankfurt coach Toppmöller confirms Ekitike is likely leaving to sign for Liverpool: “This is a bitter loss. We lost our absolute top player, Omar, in the winter. The other one stepped in and has developed sensationally. It may well be that that, too, is history.”
Looks like this one is on the brink of being done 🤩⏳✍️
Adidas ni the best kwenye Jersy, wabunifu wao akili zao zinaanzia nje ya dunia.Hiyo home kit hata kazini unaingia nayo na boss hagombi
Thank you brother.Welcome back Kop The MoNA 👏👏👏
Wala hawana haja ya kunihmiza kisa kutaja mtu simple tu...Ukipigwa vizuri utataja aliyekuficha dogo😂
we acha tu, comrade The MoNA anasema FSG wamepoteza Card ya BankMsimu huu FSG wameamua kutoboka kweli kweli
Thank you bro. Tupo hapa mpaka may kwa Neema yake Mungu. 21 its coming home.twende sasaaa ndugu yetu wa damu kabisa karejea mzigoni, we really missed you bro
Rute mzuri ushemeji shemeji imo, that's life tunafanana kwa vingi sana especially when it comes to "emotional treatment".Huku kwetu ukifariki kitu cha kwanza watu wanampigia mahesabu Mke wako uliyemuacha ni namna gani watapita naye.
Utasikia "King Ngwaba kaacha chombo cha maana".
Hapo tayari anaanza kulipiwa kodi na bili zote.
As it stands Chiesa & Nunez mighty Stay, especially akiuzwa Diaz.eti wadau mbona kama second chance has been given to Chiesa
ahahahaha sasa kwa ule umri wa mwanamke kweli akae tu mzee?? lazima na yeye akidhi maitaj ya mwilNgoja watu wasahau msiba uone, EDA ikiisha tu watu wataanza kula mzigo. Character ya Salah sidhani kama atamsaliti dogo Jota, ila wapo watakaomsaliti lazima
kumbe boss kaamua kuwa mwarabu that' s why pesa zinamwagika tuNo need to sell LFC to Oil Money, we have our new upgrade of Oil Money 2.0
Sheik John William Henry.
They are not ready for Arne Slot Penitentiary.
Ynwa'
FSG kwa huu mpunga wanaomwaga aisee tutakaa miaka 2 bila kusajili tena!View attachment 3411536
[emoji599][emoji378] Liverpool are closing in on Hugo Ekitike deal with Eintracht Frankfurt as new bid has been submitted.
Package worth up to €90m with add-ons also part of the proposal, being structured between the two clubs.
Ekitkke has full agreement with Liverpool on a six year contract.