Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimehuzunika sana kusikia Tajiri Melo anashabikia Timu ya Ollachuga😆😂
Team moja kabisa na mtu wa maana humu ndani Mbaga Jr

Mnasema Man U tuna kelele ila humu ndani Chelsea 😃wana kelele mno mashabiki tuu kuna Ollachuga, Mbaga Jr na Papa Gx😃😃kelel mwanzo mwisho kila jukwaa la sports
 
Timu yupo Ollachuga
Jani la Chuga linanukia kabisa😂😂😂
Melo Bwana,hivi alikosa timu kabisa?
Bora hata angekuja kwenu Nyumbuzi
 
Sema kweli vile?

Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
Saint Anne huyu Melo ni Chelsea lia lia nakumbuka kipindi kile Chelsea ya moto alikuwa anavimba sana kwenye mitaa fulani. Aah kuna siku tulikutana pale Steers Kijitonyama anirekebishie niweze kutumia JF kwenye blackberry yangu.

Sijui aliona kuna goli lilifungwa katikati ya uwanja na kiungo mmoja anaitwa Alex ghafla alishiba alikataa hata kunywa Juice 🤣🤣🤣
 
Sema kweli vile?

Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
Sasa Boss Maxence Melo mbona huu uzi wetu mnaubagua sana wakati huu ndio huu uzi pendwa?

Kwanini hamtaki ku update hapo kwenye trophies za EPL zipo 20 Mkuu.

Ingekuwa wa Chelsea mapema tu 😂😂😂
 
Hee😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…