Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Soboslai na Makalista wameachwa?
Wasubiri kwanza Gunners tumalize usajili maana uongozi wetu huwa unategea fixture list. Wakiona imekaa vizuri hawasajili maana wanaona timu itamudu. Ila mechi ngumu zikijaa mwanzoni wanasajili.Bado siku 6 fixture itoke ya EPL Season of 2025/2026. Who do you want on the opening day?
View attachment 3365598
Mkuu nyinyi mnasajili kwa maneno tu. Wacha tumuweke Wirtz ili tuwakande vizuri.Wasubiri kwanza Gunners tumalize usajili maana uongozi wetu huwa unategea fixture list. Wakiona imekaa vizuri hawasajili maana wanaona timu itamudu. Ila mechi ngumu zikijaa mwanzoni wanasajili.
Wood?? bora wangempachika Allister
Baadae watakua kukipiga kikosi Cha wakubwa watakataa hizi video sio zaoπ€£π€£π€£π€£Captain Marvelous unaona watoto wana mbwembwe kama za baba zao first team? πππ
Numbers don't lie brother... Wood last season was next level πͺπΎπͺπΎπͺπΎπͺπΎWood?? bora wangempachika Allister