Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,698
Nenda kacheze weweNajua tunajificha kwenye kichaka cha ubingwa ili kuficha udhaifu wetu lakini niseme tu hii timu inatia aibu na ni dhaifu mno kwa hiki ilichokifanya tokea itangazwe bingwa.
Haijalishi leo itashinda au itapoteza ila tupo wadhaifu mno
CHAMPIONSSSSSSSSS
Uyu salaa keshazeeka zake aende Saudia akale pesa hii livakukuu imeshajichokea tayariiView attachment 3345674
FORTY-SEVEN!
Mohamed Salah equals the record for the most goals and assists in a single season 👏
Mkuu naona kale ka crown kwenye trophy kalidondoka na Trent akakaokota na kumfuata Salah kumvalisha kichwani, ile ni coincidence au ilipangwa kimkakati?
Yes, hii hapa. Hahahah, kalitegeshwa makusudi kadondoke ili Salah awekewe kichwani? Hahahaha