[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Liverpuuuhhh mmekua na kauArsenyau siku hizi, yaani ndani ya mwezi mmoja mnafurushwa kwenye michuano yote mitatu?Kwenda hukoo
Ila kweli kwenye penati Kelleher yupo juu sana beyond doubt....Slot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvu
Nunez kakosa anqjidai kumgongagonga kifuani..Akina Jones akina Nunez siyo wapigaji wa penati
Allison siyo mdakaji wa penati
Unamuachia Alison adake penati, wakati benchi yupo kelleher anakula tu gootime.
Hii mechi kupoteza lawama zote ziende kwa kocha.
Not down to the players mate.We need a proper squd
Nunes
Jota
Jones
Sio levels zetu
Haya kawe Kocha wewe sasaIla kweli kwenye penati Kelleher yupo juu sana beyond doubt....
Gakpo alitakiwa apige penati then Tsimikas nk nk ...
Slot upepo umekata hana mbinu mpya.
YNWA
BrotherNot down to the players mate.
My observation ni kwamba Slot has to trust his bench yaani he can't stick to same line up kila mechi... Jana whats was needed ilikua fresh legs fresh ideas...
Newcastle had the energy ya nguvu sana. Hawajadhinda kombe kwa zaid ya miaka 40+ hivi hivyo they were the hungry team kuliko Liverpool...
Jana Chiesa, Endo, Elliot could have started, if Kelleher was given the nod why not others mate...
Slot ana suffer the same fate kama Klopp sticking to the same line up come rain come sunshine na wana kifua maana at times wanasema wanapenda small squad oook matokeo ndio yale...
We are out steam... Better mapumziko yamekuja.
YNWA
Liverpool target was and is still eplPiga kabisa haya makuku ! Eti treble,,,ipi hiyo ? Mnachukua EPL kwa sababu tu wenzenu Arsenal, Chelsea, Manchester zote, ziko vibaya msimu huu, sio kwamba mna kikosi bora au mwalimu bora ! Slot bichwa box tu!
zaidi sana kale kaanduje kenu ka kiarabu kalikuwa kameota eti katachukua b'dor msimu huu alafu kasepe kama lijendi
The MoNA
Njoo umtetee jota kaka yako😂😂
Upo sahihi Legend.Brother
Nakubaliana na wewe, but anaamini zaidi first eleven ambao hawatoshi…. Better alete upgrades
We caddy t5n get over 150m za mwarabu if we disposeaaaaas2 hao jamaa
Its damn sweet EPL mzee baba.Najua tu siku tukibeba EPL haya maumivu yote tutayasahau
Its damn sweet EPL mzee baba.
Slot atupe raha na hilo kombe
YNWA
Very true Ryan yuko exhaustedUpo sahihi Legend.
Pale kati nako Slot amem ova work Gravenberch kiasi amekua pedestrian pale tunapobanwa...
Slot anahitaji 2 new attackers CS tetesi ni Thuram wa Inter Milan... na winga mmoja tetesi ni Bakayoko wa PSV.... , anahitaji DM mmoja tetesi Gomez wa Wolverhampton na RB mmoja na LB mmoja tetesi ni Kerkrz wa Bono hapo atakua tayari kwenda sawa na PSG and the rest...
Kwa sasa arudi upya kwenye mbinu na upangaji wa kikosi tuna fainali 9 mpaka mwisho wa msimu...
YNWA