Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,486
- 3,465
Huyo Arsenal ana EPL nyingi kuwazidi nyie Man. City . Mbali na hilo City alikaa miaka 50 bila EPL juzi tu hapa ndiyo mmeanza kusumbua tena kuiba iba. Mnamcheka arsenal miaka 20 na wakati huo mlikaa 50 years. UTOTO🚮4-consecutive EPL Champions ukipenda unaweza kusema 4-A-Row current title holders!
Ila wana Arsenal bhana wasindikizaji eti Gunners kuna wale ndugu zetu mashetani sijui dah wanatia huruma, kuna wabluubluu sasa dah. Kumbe timu zikikaa sawa kuna watu watawalk alone.
I have said before Slot is an average coach , hamna kocha mle, huwezi kua Kocha wa ku-claim wachezaji wale wale kila siku na mbinu zile zile bila kubadilika aisee... Inasikitisha sana. Makombe matatu yote tunatolewa kizembe hivi!!!Slot again huyu kocha ni mpumbavu sana sijawai kuona hizi match za mhimu anadhidi kutushusha the match against Plymouth FA akaweka wachezaji wa ajabu tukaondolewa. Leo tena anafanya sub za kiseng* kumtoa McAllister na Szoboslai was big mistake, then alivyo wa ajabu anaenda kufanya selection mbovu ya wapigaji penalty, Yakima Nunez yaliyo jichokea, aisee... Hii match imeniuma. Hata saivi EPL tushukuru tu Man. City na Arsenal hawapo kwenye form vinginevyo saivi tungekua tupo nafasi ya 3 huko. Simuoni akiwa na mda mrefu pale viunga vya ANFIELD.
Lakini hongera kwa. PSG wameonyesha ushindani mkubwa sana. Naona Kuna uwezekano mkubwa sana wa PSG kuchukua huu ubingwa. Jamaa wanajua kukaba, (high pressing) wanapiga accuracy pass aisee... Mpaka Sasa match nilizo ona UEFA sioni timu ya kuwazuia hawa washikaji.
Mbona 2 chache tunatakiwa mpaka sasa tuwe tumepigwa 5.
Magarasa ya liverpool ni haya hapa
1. VVD
2. ROBO
3. JOTA
4. JONES
Hawa wanapaswa kuwa squad players kwa sasa na si first XI.
Nipo tayari kwa ugomvi katika hili.Umemuela Jota hapa subiri sasa hivi utaletewa takwimu utaambiwa ni bonge moja la Clinical Finisher yani zaidi ya Salah
The MoNAUmemuela Jota hapa subiri sasa hivi utaletewa takwimu utaambiwa ni bonge moja la Clinical Finisher yani zaidi ya Salah
The MoNAUmemuela Jota hapa subiri sasa hivi utaletewa takwimu utaambiwa ni bonge moja la Clinical Finisher yani zaidi ya Salah
Ni msimu wake wa kwanza kuwepo Liverpool na ni mara yake ya kwanzaI have said before Slot is an average coach , hamna kocha mle, huwezi kua Kocha wa ku-claim wachezaji wale wale kila siku na mbinu zile zile bila kubadilika aisee... Inasikitisha sana. Makombe matatu yote tunatolewa kizembe hivi!!!
Umekumbuka kunywa chai?Ni msimu wake wa kwanza kuwepo Liverpool na ni mara yake ya kwanza
Na ni mara yake ya kwanza kuwapo kwenye hizi ligi za uingereza.
Tumpe muda
Na kuanzia msimu ujao atasuka kikosi chake,
Ndipo sasa muanze kutoa judgement zenu kwake.
SijanywaUmekumbuka kunywa chai?
Hapa kuna emoji tu hizi hapaSijanywa
Vipi, unayo hapo unigawie nipoze Koo?
Nipe chai kwanza ndugu arse8Hapa kuna emoji tu hizi hapa
😂😂😂
Ndiyo maana chingereza hakipandiNipe chai kwanza ndugu arse8
Kwenda hukooNdiyo maana chingereza hakipandi
Sawa Kiongozi let's waitNi msimu wake wa kwanza kuwepo Liverpool na ni mara yake ya kwanza
Na ni mara yake ya kwanza kuwapo kwenye hizi ligi za uingereza.
Tumpe muda
Na kuanzia msimu ujao atasuka kikosi chake,
Ndipo sasa muanze kutoa judgement zenu kwake.