Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni sana wanangu ila mpira leo mmeuonesha.

Sina hakika kama huko mbeleni kutakuwa na mechi tamu kuizidi hii.

Sometimes bahati nazo zina play role yake.
Ndg ulikuwa unaangalia mpira , Liverpool kaonyesha nini zaidi ya kupaki bus vile vitoto vya Paris sio poa walikuwa na KAZI ya kurudi nyuma na kuzuia mechi zote mbili.
 
Ndg ulikuwa unaangalia mpira , Liverpool kaonyesha nini zaidi ya kupaki bus vile vitoto vya Paris sio poa walikuwa na KAZI ya kurudi nyuma na kuzuia mechi zote mbili.
Na hata saizi namalizia kuangalia hizi shamla shamla za mwishoni baada ya mechi

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa wapenzi wa soka hapo liverpool hamtamsahau huyu kwa msimu huu. Katibua mipango dakika za mapema kabisa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…